Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

20240119_150752.jpg
 
Sijajua sasa hospital walikuambia shida ni nini hasa na ulipima kipimo aina gani tuanzie hapo ?!
Mara ya mwisho nilifanya ultrasound tu, Ila nina mpango WA kufanya endoscopy hivi karibuni
 
Tatizo Ni kwamba almost vyakula vyote ambavyo vinasababisha gesi ndo ambavyo viko common na affordable Kwa watu wa level zote,. Tofauti na hapo Ni kuviongeza tu vidonda Kwa kutokula mlo kamili
Naunga mkono hoja
 
Huu ugonjwa ulitaka kunitoa roho kule swedish paka nilipumulia gesi yaani tumbo linauma kama nataka kufa vile yaani siku hiyo nikasema hapa nakufa mda wowote ule nilikuwa nachomwa sindano za kutoa gesi tumboni 😭😭😭
Vinaumiza Sana aisee... Naelewa unachokizungumza,,.huu ugonjwa Ni mateso
 
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.

Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.

hiyo legal kit inauzwaje
 
binafsi
chia seeds
mayai mabichi
mabamia
 
binafsi
chia seeds
mayai mabichi
mabamia
Haya yote ninayo hivyo vichia si vinaasili ya mbegu ya figili nimekula sana mayai mabichi ya kyenyeji hadi kinyaa lakini sijapona
 
Back
Top Bottom