Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

😁🤣🤣Ukienda kupima usiogope my sister kaza roho mie nilikuwa naogopa kwa sababu nilikuwa Nina presha sana 😭🤣 ila ni Moja wapo ya vipimo ambavyo viko vizuri sana yaani inaonesha Kila kitu tumboni
Nasikia inabidi usile siku nzima kabla ya kufanyiwa, Ni kweli?
 
Huu ugonjwa ni balaa sana nilitoka nao congo drc paka Leo sijapona mwaka wa pili huu nimezunguka hospital nyingi duniani naishia kupewa dawa za kupona miezi 7 alafu baadae ugonjwa unarudi 😭😭😭 ila mwaka huu nilichekiwa na docta mswedish na kipimo cha tumboni akaniambia vimebakia kidogo muhimu niache stress nitapona
Mkuu ukipata Omeprazone mg 20 gold fish kila baada ya siku moja kwa miezi 6 unapona bila shaka yeyote.Mimi nilifikia mpaka siwezi kula vizuri bila kuumwa.Sasa mwaka wa 10 tokea 2004 sijapata tatizo hilo.
 
Asanteni sana wana JF mlitoa mawazo mbarikiwe sijaona kejeli yoyote ngoja tukafanyie kazi ushauri wenu🙏🙏🙏
 
🤣😁😁Kabisa aisee ni balaaa wamasai wanajua dawa
Wamasai dawa zao nzuri sana Ila sio hawa WA mjini sikuizi wanachakachua Hadi wao.. Inabidi uwatafute wale WA porini kabisa..
Nakumbuka Nilikuaga na ugonjwa WA ngozi nilisumbuka nao Sana mahospitali karibu miaka mitatu kama sio minne.. Kuna mmasai mmoja alikua mpangaji wetu aliniambia nikienda nyumbani nitakuletea dawa,, kweli alinitelea unga flani hivi nikawa nakunywa kila siku asubuhi na jioni ndani ya mwezi mmoja tu nilipona na makovu yote yalifutika, nimekua na ngozi nyororo kama ya mtoto mdogo.., na ninaitunza dawa ninayo Hadi Leo Hua nakunywaga mara chache chache isiishe☺️☺️
 
Ni sahihi kabisa milikuwa naumwa tambazi hadi meno n kichwa kuuma nikatafuta dawa sana baadae nikamwomba mlinzi mmasai anitafutie dawa aliitafuta akasema 80k nikasema kama nitapona nalipa na mzee muuza dawa yupo moro kijijini alisema utalipa ukipona wiki moja tu sijapata maumivu tena
 
Ilikua inanikuta nikitumia Omeprazole.. Nikaacha mara moja nilivyogundua kama ndo Inasababisha, na sijawahi kutumia tena[emoji28][emoji23]
Tatizo watu hawapimi ili kujua ni aina gani ya vidonda mtu husika anavyo, ili kutumia dawa husika.

Mimi vikianza kuniwasha nakunywa hiyo Omeprazole na vinanyamaza hata mwaka mzima na Bia nakunywa freshi tu.
 
Back
Top Bottom