kondegal
Member
- Jul 27, 2018
- 35
- 86
wanauza maduka ya spice au maduka ya asiliuwatu ndio nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanauza maduka ya spice au maduka ya asiliuwatu ndio nn
Hivi ni vizuri sana nilitumia Nika kaa sawa kama miezi 7 si nikaanza kulewa pombe kalii na kula nyanya na vitu vyenye gesi aloo vikarudi Tena ila saivi Nina afadhali sanaNaona tatizo limekuwa kubwa hasa Bongo, Mimi sina dawa ya kuponya lakini kings ukitaka usiumwe vidonda vya tumbo kinga ipo.
Ukitaka usipatwe kabisa na vidonda vya tumbo tumia anti gas, na matunda yanayosaidia kuondowa gesi tumboni, hata ndizi mbivu ni nzuri haina citric acid, kwenye chai na maji tumia limao hii ni nzuri sana.
Kwa sasa Mimi natumia vidonge Anti ,acid huwa naletewa kutoka Marekani, ni vidonge viwili kila baada ya wiki mbili unaweza kuvimezea na maji au kuvimezea na bia, issue ya gas tumboni Marekani,walishamalizana nayo kitambo Tu.
Kama Una mtu Marekani akutumie Kwa wingi vidonge hivi upati vidonda vya tumbo kamwe.
Halafu muelewe kujamba ni ahuweni Kwa tumbo lako, mbaya wa tumbo ni gas.
Nyanya ni kinga ya tezi dume, msichaguwe vyakula, Acha kula chakula unachoona hakikupendezi tu.Hivi ni vizuri sana nilitumia Nika kaa sawa kama miezi 7 si nikaanza kulewa pombe kalii na kula nyanya na vitu vyenye gesi aloo vikarudi Tena ila saivi Nina afadhali sana
Mm mwenyewe niliteseka sana.nilifikia hadi hatua ya kujisaidia blood clot.ila sasa niko poa nadunda vzr kbsa.njoo inbox kwa maelekezo zaidiAisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
Angalia usije ukarestisha maharagwe(figo).Niko na majani nayatumia saizi kutoka umasaini huko ndanindani naona walau yanafanya vizuri.. Ila hizi za hospitali nimehangaika sana bila mafanikio
Irie rastaNilishawahi kuugua vidonda vya tumbo. Nimepona kwa kula pilipili kali za mwendokasi.
Watu wengine wenye uelewa wa haya mambo watakuja kufafanua tiba ya pilipili.
Hunijui sikujui sina sababu ya kukudanganya
Sawa mkuuAngalia usije ukarestisha maharagwe(figo).
Majani ya mlonge mimi nakula mara moja moja kama mboga, lakini pia muda mwingine nayakausha kivulini baadaye nayapondaponda kisha ile powder yake huwa naitumia kama tea leaves na chemsha ikiwa nimechanganya na tangawizi fresh kisha natumia asali kama mbadala wa sukari. Huwa najisikia vizuri sana nikitumia hii kitu.Kuna mtu wangu wa karibu ambaye ana ulcers zile chronic, siku zikiamka huwa anachukua majani ya mlonge na mstafeli, anayatwanga na kuyachemsha pamoja, baada ya hapo huwa anakunywa na vinapoa faster
Hii ndio nimethibitisha 100%
Pole LeeNiko na majani nayatumia saizi kutoka umasaini huko ndanindani naona walau yanafanya vizuri.. Ila hizi za hospitali nimehangaika sana bila mafanikio
Asante Sana kiongozi.Pole Lee
VIkiendelea kukusumbua nicheck
Dakari wangu alinambia nimeze heligo kit wiki mbili halfu 1Hizi dawa zilinisaidia kupona ila kabla ya kutumia ni vizuri ukakutana na wataalam wa afya.
Pantroprazole Tablets 40 mg.View attachment 2876463
Hua madondayananipata kwa nyakati tofauti ila dozi niliyotumia ni Heligo kit (original siyo ile ya kukusanya mabox tofauti ya dawa) kwa wiki 2 na pantoprazole kwa wiki 1 au 2.Hizi dawa zilinisaidia kupona ila kabla ya kutumia ni vizuri ukakutana na wataalam wa afya.
Pantroprazole Tablets 40 mg.View attachment 2876463
Kuepuka msongo wa mawazo.Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
Inaponyesha kabisa au inatuliza tuu?Kuna mtu wangu wa karibu ambaye ana ulcers zile chronic, siku zikiamka huwa anachukua majani ya mlonge na mstafeli, anayatwanga na kuyachemsha pamoja, baada ya hapo huwa anakunywa na vinapoa faster
Hii ndio nimethibitisha 100%
Inbox kufanya nini? Unashindwa Vipi kupost hapa?Njoo kwangu.
Mm mwenyewe niliteseka sana.nilifikia hadi hatua ya kujisaidia blood clot.ila sasa niko poa nadunda vzr kbsa.njoo inbox kwa maelekezo zaidi
Ili iweje? Umezuiwa na Nani kushare hapa?Pole Lee
VIkiendelea kukusumbua nicheck
Shangaa wewe, miye ndio nashindwa kuwaelewa kabisa.Sasa wakuu mnaosema tuje DM kwanini msitusidie hapa hadharani wengi tujue na naamini hili tatizo linasumbua wengi nao wanasoma huu uzi na kujifunza.