Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Inaponyesha kabisa au inatuliza tuu?
Kwa mantiki yake naona vinamtuliza maana yete huwa anaitumia vidonda vikichachamaa.
Ila vikipoa huwa anaendelea kula vitu vyote kama kawaida hata vile vinavyokatazwa kama maharage au dagaa. Na hapo kuumwa tena humchukua muda sana ndio maana nikaona hiyo dawa ya majani ya mlonge mixer mstafeli ipo effective