min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Vidonda ukividekeza vinakufanya kilema .Kabisa kaka mi niliteseka sana nikaamua tu kunywa bia na liko poa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vidonda ukividekeza vinakufanya kilema .Kabisa kaka mi niliteseka sana nikaamua tu kunywa bia na liko poa kabisa
Kama hujapona bado nitafute mimi kwa wakati wako nikupe dawa yangu upate kupona vidonda vyako vya tumbo uguwa pole.Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
Madawa ya hospital sio mazuri kwenye vidonda vya tumbo anyway kila mtu aamini anachokiamini kitamponyaAisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
Kwamuda ganiChukua mahindi mabichi ya machanga kiasi ,osha tafuta hivyo hivyo mabichi asubuhi na jioni ,utanikumbuka
Kama upo Dar, nenda hospital Fulani ya wakorea nadhaniAisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
nitumie noMkuu usihangaike na hii kitu. Kuna jamaa yangu alinipa dawa free ikaniponya kabisa, naweza nikamuomba akusaidie na wewe.
Kama atakutoza haiwezi shilingi 5000. Nakutumia namba inbox.
Kwa hiyo umepona bila kutumia dawa??Mimi vilinisumbua Sana kiasi nikianza kupata maumivu, mpaka ninywe dawa ndio vinatulia. Nilishauriwa nipunguze mawazo, nile chakula kwa wakati yaani nisisikie njaa na pia nifanye mazoezi. Kwakweli mpaka Leo hii, vidonda vya tumbo nasikia Tu wengine wakilalamika lakini Mimi sina.
Uko mji gani?Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi vinanitesa zaidi kwa maumivu ya vichomi mgongoni na kifuani upande wa moyo, yaani hata kukohoa kucheka au kutikisa mkono wa kushoto ni maumivu makali sana.
Tumia hii baada ya siku saba ulete mrejesho humu na sio kwangu.Members humu kwema? Kwa ambaye amepata dawa ya vidonda vya tumbo anifahamishe vinanitesa sana, hapa mwili umeisha, nimeshatumia madawa ya kila Aina sasa umeshaangusha hata uchumi wangu, inshort ni maumivu usiku na mchana hakuna amani , mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
ndioKwa hiyo umepona bila kutumia dawa??
Ndio vya tumbo Mkuu sio powa nikichelewa kulaKuna mda maumivu ya mgongo na vichomi unapata?
DR Mambo JamboMembers humu kwema? Kwa ambaye amepata dawa ya vidonda vya tumbo anifahamishe vinanitesa sana, hapa mwili umeisha, nimeshatumia madawa ya kila Aina sasa umeshaangusha hata uchumi wangu, inshort ni maumivu usiku na mchana hakuna amani , mwenye kujua dawa anisaidie tafadhari
VIdonda vya tumbo matibabu yake yanaambatana na kubadili Tabia za milo na hata tabia za Aina ya Chakula cha kula (Eating Discipline)..