Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

Inaponyesha kabisa au inatuliza tuu?

Kwa mantiki yake naona vinamtuliza maana yete huwa anaitumia vidonda vikichachamaa.
Ila vikipoa huwa anaendelea kula vitu vyote kama kawaida hata vile vinavyokatazwa kama maharage au dagaa. Na hapo kuumwa tena humchukua muda sana ndio maana nikaona hiyo dawa ya majani ya mlonge mixer mstafeli ipo effective
 
Wamasai dawa zao nzuri sana Ila sio hawa WA mjini sikuizi wanachakachua Hadi wao.. Inabidi uwatafute wale WA porini kabisa..
Nakumbuka Nilikuaga na ugonjwa WA ngozi nilisumbuka nao Sana mahospitali karibu miaka mitatu kama sio minne.. Kuna mmasai mmoja alikua mpangaji wetu aliniambia nikienda nyumbani nitakuletea dawa,, kweli alinitelea unga flani hivi nikawa nakunywa kila siku asubuhi na jioni ndani ya mwezi mmoja tu nilipona na makovu yote yalifutika, nimekua na ngozi nyororo kama ya mtoto mdogo.., na ninaitunza dawa ninayo Hadi Leo Hua nakunywaga mara chache chache isiishe[emoji3526][emoji3526]
Leo ndiyo nimejua kuwa masai uwa wanapanga vyumba maana sikuwahi jua wanakuwaga na mageto

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Badikisha Mazingira, miaka fulani nilikuwa nakaa Makete vidonda vilikuwa vinawasha tanuru la moto tumboni, full kujaza gesi. Nikapewa kila aina ya dawa hospital na kienyeji waaapi. Nikaja kugundua nikiwa Dsm sipati ahida sana, nikahama huko. Sikuwah kuvisikia wala kuviona.
 
Badikisha Mazingira, miaka fulani nilikuwa nakaa Makete vidonda vilikuwa vinawasha tanuru la moto tumboni, full kujaza gesi. Nikapewa kila aina ya dawa hospital na kienyeji waaapi. Nikaja kugundua nikiwa Dsm sipati ahida sana, nikahama huko. Sikuwah kuvisikia wala kuviona.
Cha kuongezea

1. Wakati vinanisumbua nilikuwa mara nyingi nina mfadhaiko wa eneo nililokuwa (stress) sikupenda kukaa nje ya Dunia.

2. Nilikuwa addicted na Redbull na Gramd Malta Plus Pepsi soda
 
Lakini nahisi dawa direct ya kuponya haipo hata waziri mkuu wa japan alivojihuzuri aligusia vidonda vya tumbo kumsumbua
Relcer ni anti acid....na hiyo ingine zote ni kupoza.uko.sawa hapo hakuna dawa ya kutibu ila kupoza.
 
Maziwa mtindi ni mbabe wa kutoa gesi tumboni, ukigonga glasi 1 au 2 asubuhi na jioni kila siku lazima ujambe vya kutosha na kutoa haja kubwa mara 2 kwa siku ambapo ndiyo utaratibu sahihi kiafya, ukishindwa sana juisi ya ukwaju nayo ni njema sana.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Juice ya ukwaju ni sahihi mi nilikuwa natumia sana baadae hospitalini walinambia haifai kwangu
 
Ila mwanangu mbona kama bia ni tiba iv !! Unajua watu wanaona kama masihara ivi ,ila kuna namna inasaidia [emoji848]
Kabisa kaka mi niliteseka sana nikaamua tu kunywa bia na liko poa kabisa
 
Back
Top Bottom