ikiwa mazima ni sahihi, as haikuwepo in the first place !Hayana formula, mwingine ukimfanyia hivyo ndio mazimaaa .. sema mapenzi hayalamishiwi. Penzi la kulazimisha baya sana.. Tuachane na hili, nilikuja nduki nikijua dawa ya mganga.. kuna katoto kananisumbua hapa
Siku hizi mfungi kwenye makaratasi ya Kaki 😳sure ukiwa na starehe nyingi hivi vitu havikusumbui 😁
View attachment 3438217