Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Unasemaaaaa!!!😂ni ukoo mmoja ila babu na bibi tofauti
Unasemaaaaa!!!😂ni ukoo mmoja ila babu na bibi tofauti
Mimi nilishatangaza vita rasmi na masimp, nawamind vibaya sana kwasababu ni tatizo kubwa sana aisee. Hapa saa hii naandaa nyuzi za kuwanyoosha. Masingle mother, masimp na mafeminist sio watu wa kuwachekea hata kidogo.Rich simps ndio wamefufikisha hapa. Masimp ndio waliosababisha mpaka wanawake wasiokua na chochote cha maana na wao wajione hot cake.
Masimp ndio masponsor wa uchumi bwege.Uchumi bwege ni aina ya uchumi ambayo imeshika hatamu kwenye dating pool katika kizazi tulichopo. Uchumi huu umewapumbaza wanawake na kufikiri hawawajibiki na bill zao. Uchumi umefanya wanawake waamini wajibu wa wanaume ni kusujudia uwepo wa wanawake.
Uchumi huu umewafanya wanaume mabwege wawe waangaikaji ku-fullfill ego za wanawake ambao hawaongezi thamani yoyote katika maisha ya wanaume hao.
Leo hii mwanamke haitajiki kufanya kazi kwa bidii au kuanzisha miradi ya kibiashara ili aweze kuishi lifestyle anayoitaka, anachotakiwa kukifanya ni kuzigawa tu bill kwenye network yake ya mabwege.
Mwanamke anataka iphone pro max?, rahisi kabisa. Anachagua mabwege 30 kwenye contact list yake anawapiga mzinga wa 50K kila mmoja. Mabwege wanafikiria wanasaidia tu huku wakiwa na matarajio ya kupata attention ya uyo mwanamke au kupewa mbususu.
Mwisho wa siku ndio hivyo mwanamke anatumia ujinga wa hawa mabwege ku-upgrade lifestyle yake bila kuinua hata mkono mmoja kufanya kazi. What's next? anaenda kwenye vikao vyao kusimulia mashoga zake jinsi anavyowapiga wanaume kifala fala. Matokeo yake ndio haya sasa wanawake wanaanza kucheza mind games, kufanya emotional blackmails, kufanya relationship monetization. Masimp ndio wanawa-inspire kufanya hayo
Uchumi huu umepandisha ego ya wanawake wa kawaida kabisa, umeshusha thamani hustle zinazoheshimika, umeondoa uaminifu katika mahusiano, na umewafanya wanawake masikini waamini wao sio masikini isipokua wapo katika mahusiano na mwanaume asiekua na hela.
Ndio maana katika kizazi tulichopo mwanamke asiekua na hela hajioni kama yeye ni masikini, badala yake anawaona wanaume ndio masikini. Hii ni kwa sababu masimp wamemfundisha hatakiwi kufanya kazi kuweza kumudu mahitaji yake, anachotakiwa kukifanya ni kupendeza tu na kupost edited videos zake za kubinua matako instagram na tiktok, then mabwege watamfuata DM kuomba tenda ya kummwagia hela
Men should stop this nonsensd. Let that broke woman fix herself or stay that way, it not your problem. Any woman who provide nothing valuable but wants everything she is a parasite, and any man who funds her he is a part of the problem.
Aaaah nililewa bwana😂Unasemaaaaa!!!😂
Ulilewa nnAaaah nililewa bwana😂
ugali wa ulezi, msukuma yule alinipa nileUlilewa nn
Anasukumaga nini huyo msukuma?ugali wa ulezi, msukuma yule alinipa nile
Npo kwenye kelele ntakupgiaAnasukumaga nini huyo msukuma?
Vipi Kwa mwanaume ikiwa ulimfanyia hvyo Mpenzi wako Hadi akachukua hatua kuondoka nyumbaniWajomba na Mamshangazi habari zenu.
Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia.
Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi.
1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3
2. Kujibiwa majibu short kama "SIJUI, SINA,UTAJUA MWENYEWE"
3. Mpenzi wako kutokukuaga kwa lolote yaan anakuwa anajiamulia mwenyewe tu hadi ukimpigia simu ndio akuambie yupo sehemu fulani.
4. Kutokukutafuta asubuhi na usiku akitala kulala,muda wote anajifanya yupo BUSY
5. KUKUJIBU KWA HASIRA
6. Hajali kuhusu hisia zako pindi unapomueleza
7. Unampigia simu hadi mara 3 na kutuma sms zaidi ya 3 na hajibu lolote hadi masaa 3 au 6 pengine ndio imeisha hivyo.
8. Kumrekebisha makosa kila siku na bado anayarudia.
BINAFSI NILIPITIA CHANGAMOTO HIZI ILA NILIJIFUNZA KITU....!!!
Kwa mahusiano niliyokuwa nayo hapo awali niliteseka sana na nilipatwa na msongo wa mawazo, Binafsi sio mtu wa kuwa na wanawake wengi na sio mtu wa kutengeza mahusiano kila leo....ninapenda sana kuwa na husiano langu 1 muhimu sana.
NILIFANYA NINI?
Binafsi nilianza kujifunza haya na ilinisaidia kwa kiasi kikubwa kurejesha FURAHA BINAFSI
1. Nilijiweka chini nikajishauri kwa masaa 3 then nikaamua kukaa KIMYA.
2. Sikumtafuta tena, baada ya siku 3 alinitafuta kwa simu na sms na sikupokea simu yoyote na sikujibu lolote.
3. Nilijiweka Busy for nothing, yaani kazi zangu zikiisha najipa overtime ya kazi hata za wengine ili nisikae chini kuwaza ushenzi, nilijipa mzigo mkubwa sana.
4. Nilianza kuzingatia Afya zaidi na kutafuta amani yangu
5. Sikutafuta rafiki yake yeyote wala sikuongea na yeyote kuhusu mpenzi wangu, kifupi nilikata mzizi na kuondoka ma shina.
Hayo juu ni baadhi tu ya vitu nilivyofanya, kiukweli inaumiza kujitenga na mtu uliyempenda kwa dhati na kumjali kwa kila aombacho.
KUMBUKA.
Sikumuacha ila nilijipa muda kupona kwenye mateso na vifungo vya ajabu.
MAJIBU
Baada ya kugundua ukimya wangu ambao yeye aliona ni kero alianza kunitafuta kila saa na kuniuliza wapi nilipo ili aje tuongee, sikuwa najibu lolote zaidi ya ku bluetick huko whatsap tu hii ilimfanya akasogea zaidi na kumiss muda wangu kwake, haikuwa rahisi ila kwasasa tangu qjue kuwa ninaweza kuishi bila yeye amekuwa karibu na adabu imerudi.
FUNZO KWA WAJOMBA NA MAMSHANGAZI
JIFUNZENI KUITAFUTA AMANI YA MOYO WAKO MAANA ULIYENAYE ANAWEZA KUITUMIA KUKUUMIZA KWA KUKUONA WEWE MSUMBUFU.
INAUMA ILA INABIDI UZOEE.
NAOMBA KUWASILISHA
Umetisha Sana mkuuYeah mapema tu hawa mbuzi wanakaa kwenye reli
Sahihi kbsaSiku zote jithamini wewe kwanza na kuijua thamani yako,kabla ya mtu yeyote yule,
Usimpe nafasi Mwanamke akajiona yupo juu yako hata siku moja,usimpe nafasi ya kukutawala,usimuonyeshe kua unamuhitajia sana na huwezi kuishi bila yeye,
Mwanamke unatakiwa umuonyeshe your true color from the beginning before it's too late,
Heshima yako na thamani yako,vinajengwa na wewe mwenyewe.
Hakika ulimnyoosha kweli kweliHii ni njia pekeee
Niliyoitumia baada ya njia zote kufeli
Mume wangu alikua ananiona kero na nilishafikia hatua ya kukata tamaa kabisa
Maana atakosea yeye mimi ndo nitaomba msamaha
Na kadhalika na kadhalika
Ila nilikuja kuwa busy nilijipa kazi nzito na ratiba ngumu
Then i stay like 3 weeks sitajmtafuta
Alishakua ameondoka (kikazi) ila mimi ndo nilikua bado nabembeleza
Hizo week 3
Kwa mara ya kwanza katika mahusiano yetu na ndoa miaka (10) ndio aliomba msamaha na kuomba tuanze upya
So now nina amani tele na sote kwa pamoja tuna amani
Ila niliamua tu kufocus na mimi,my self and i so nadhibitisha hii njia ina majibu
Ulichoka bure mkuu😂Kuna mwingine yuko hivyo afu katumia gharama kibao nikasema maybe nikishajipigia mipass yangu atakaa sawa
Kazi ilikua ngumu mipass ikapigwa lakin baada yahapo hali hiyo bado ikaendelea
Nimefanya yote hayo lakin yeye kachili tu
Mwisho wasiku nimegundua sipendw nimecheki chimbo lingine tu
Aisee 🤔Usiombe ukutane na mwanaume anakudharau halafu wewe umempenda unategemea mvuke hatua ya ndoa.
Kuna jamaa alifikia sehemu akaanza verbal abuse mara "we ni mzuri na una mguu mzuri sana ila ungekuwa mwembamba zaidi ya hapa, na pia sipendi maji ya kunde napenda mdada mweupe", eeh, you mean unataka nijichubue, and I was just 62kg kwa height ya 168m, kweli jamani?. Nikaona hii ni ile wanayosema wahenga "akufukuzae hakuambii toka"
Tukapotezeana hivyo kimya kimya. Ikapita kama wiki 2 akanipigia simu nakutakia mitihani mema", nilikiwa chuo, nikasema "asante baba".. hatukuwasiliana tena. Penzi likaishia hivyo. Before alikuwa ananiambia mi ni wife material nikawa namwambia ngoja nimalize shule kwanza, nakupenda kwa dhati kabisa.
Mwaka mmoja niko zangu kazini (niliajiriwa immediately) nakutana na coworker ambaye ni mutual friend yetu. Nam-add Facebook jamaa ana-pop up up kwemye friend list ya coworker. Nikashtuka unamfahamu fulani akasema ndiyo, kanipa story fulani nikabaki nacheka tu.
Ingawa naye alipata kazi haraka ali-mess up na mdada wa watu akamtia mimba, mzazi wa mdada akakomaa hapa unaoa, silei mabinti waliozalishwa akafungishwa ndoa mithiri ya ndoa mkeka ya kanisani, you can tell hakukuwa na maandalizi yoyote just ndoa ifungwe tu.
Kilichonichekesha mdada ni mweusi kama mkaa (Sina tatizo na rangi ya mtu, all skins are beautiful, ila si alininyali mimi maji ya kunde anataka mwanamke mweupe?, kwanini nisicheke?) Kama haitoshi, mdada alivyozaa alishift kutoka model hadi jimama libonge, yaani obese kabisa. Sasa kwenye picha yao ya harusi jamaa yuko kama ananing'inia walivyo-hug maana mdada kamzudi size, nikasema dawa yako, malipo hapa hapa duniani.
Few year later tukaonana, sijui kwanini Mungu anafanyaga hivi. Analalamika eti sikufight enough, anahoji kama kweli nilikuwa nampenda, nikamwambia baba, kwenye mapenzi nafight na mtu ninayempenda against dunia, siyo mimi ni-fight na dunia peke yangu wewe ukiwa upande wa dunia. Akashauri ooh, kuna option, naweza kumwacha mke wangu tuoane ndoa ya kanisani ila kwa walokole, wale wanafungisha tu ndoa talaka ikikamilika, and he was so serious, nikamwambia baba siingilii ndoa za watu kwa namna yoyote ile, na huyo ni mpaka lifo kiwatenganishe. Kuna mjinga mmoja akampa namba yangu nikamblock.
Penzi hakika halilazimishwi, kama mnalazimika kununiana na kuchuniana kudemand attention hilo siyo penzi, nna masha na long term implications.
Unajichosha tuWajomba na Mamshangazi habari zenu.
Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia.
Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi.
1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3
2. Kujibiwa majibu short kama "SIJUI, SINA,UTAJUA MWENYEWE"
3. Mpenzi wako kutokukuaga kwa lolote yaan anakuwa anajiamulia mwenyewe tu hadi ukimpigia simu ndio akuambie yupo sehemu fulani.
4. Kutokukutafuta asubuhi na usiku akitala kulala,muda wote anajifanya yupo BUSY
5. KUKUJIBU KWA HASIRA
6. Hajali kuhusu hisia zako pindi unapomueleza
7. Unampigia simu hadi mara 3 na kutuma sms zaidi ya 3 na hajibu lolote hadi masaa 3 au 6 pengine ndio imeisha hivyo.
8. Kumrekebisha makosa kila siku na bado anayarudia.
BINAFSI NILIPITIA CHANGAMOTO HIZI ILA NILIJIFUNZA KITU....!!!
Kwa mahusiano niliyokuwa nayo hapo awali niliteseka sana na nilipatwa na msongo wa mawazo, Binafsi sio mtu wa kuwa na wanawake wengi na sio mtu wa kutengeza mahusiano kila leo....ninapenda sana kuwa na husiano langu 1 muhimu sana.
NILIFANYA NINI?
Binafsi nilianza kujifunza haya na ilinisaidia kwa kiasi kikubwa kurejesha FURAHA BINAFSI
1. Nilijiweka chini nikajishauri kwa masaa 3 then nikaamua kukaa KIMYA.
2. Sikumtafuta tena, baada ya siku 3 alinitafuta kwa simu na sms na sikupokea simu yoyote na sikujibu lolote.
3. Nilijiweka Busy for nothing, yaani kazi zangu zikiisha najipa overtime ya kazi hata za wengine ili nisikae chini kuwaza ushenzi, nilijipa mzigo mkubwa sana.
4. Nilianza kuzingatia Afya zaidi na kutafuta amani yangu
5. Sikutafuta rafiki yake yeyote wala sikuongea na yeyote kuhusu mpenzi wangu, kifupi nilikata mzizi na kuondoka ma shina.
Hayo juu ni baadhi tu ya vitu nilivyofanya, kiukweli inaumiza kujitenga na mtu uliyempenda kwa dhati na kumjali kwa kila aombacho.
KUMBUKA.
Sikumuacha ila nilijipa muda kupona kwenye mateso na vifungo vya ajabu.
MAJIBU
Baada ya kugundua ukimya wangu ambao yeye aliona ni kero alianza kunitafuta kila saa na kuniuliza wapi nilipo ili aje tuongee, sikuwa najibu lolote zaidi ya ku bluetick huko whatsap tu hii ilimfanya akasogea zaidi na kumiss muda wangu kwake, haikuwa rahisi ila kwasasa tangu qjue kuwa ninaweza kuishi bila yeye amekuwa karibu na adabu imerudi.
FUNZO KWA WAJOMBA NA MAMSHANGAZI
JIFUNZENI KUITAFUTA AMANI YA MOYO WAKO MAANA ULIYENAYE ANAWEZA KUITUMIA KUKUUMIZA KWA KUKUONA WEWE MSUMBUFU.
INAUMA ILA INABIDI UZOEE.
NAOMBA KUWASILISHA
Mna balance shobo .Hii ni njia pekeee
Niliyoitumia baada ya njia zote kufeli
Mume wangu alikua ananiona kero na nilishafikia hatua ya kukata tamaa kabisa
Maana atakosea yeye mimi ndo nitaomba msamaha
Na kadhalika na kadhalika
Ila nilikuja kuwa busy nilijipa kazi nzito na ratiba ngumu
Then i stay like 3 weeks sitajmtafuta
Alishakua ameondoka (kikazi) ila mimi ndo nilikua bado nabembeleza
Hizo week 3
Kwa mara ya kwanza katika mahusiano yetu na ndoa miaka (10) ndio aliomba msamaha na kuomba tuanze upya
So now nina amani tele na sote kwa pamoja tuna amani
Ila niliamua tu kufocus na mimi,my self and i so nadhibitisha hii njia ina majibu
Vipi Kwa mwanaume ikiwa ulimfanyia hvyo Mpenzi wako Hadi akachukua hatua kuondoka nyumbani
Baada ya kuondoka ndio unakuja kugundua umuhimu wake thamani yake kwako je unajirudi vipi ?na utatumia mbinu gani kumrejesha?
Umenena ukweli wenyew kaka.....niliwahi puuzia redflag kikanilamba acha tu
Pole mjomba, kama ilisaidia hongera. Maana sisi mpaka tulipojaribu kuloga wale walozi nao walia kuhusu mapenzi.Mimi nimepigwa nazo nyingi sana ila njia nyingi zilifeli sana ila chache ndio nimeandika ndg Mjomba
🤣🤣🤣Pole mjomba, kama ilisaidia hongera. Maana sisi mpaka tulipojaribu kuloga wale walozi nao walia kuhusu mapenzi.