Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
- Thread starter
- #121
Na mafuta mafuta au utelezi😅😅😅kwa hiyo mbio zote tatizo ni nyama?

We acha tu watu walizimia hahaha sasa hivi ni huko Mafoil,rock city na mengine mengi kama shetembaa, buhongwa huko kunao hadi wa nipige tafuSi unajua lile jimbo kubwa limeishafungwa
Action and Reaction..., Kama ni mtu anapenda kubembelezwa na kudeka na ulikuja kwa gia za kubembeleza na kudekeza alafu all of a sudden umegeuka kuwa a closed book unategemea ataendelea na feelings za honeymoon ?Hilo lipo wazi...kama akikuacha mazima basi haukuwa target na hakuwa na wewe bali alikutumia tu
Kabisa amani yako haiko kwa mke wako siku hizi na akijua kuwa akikaa kimya anakuumiza hapo utateseka Cha msingi ndio hivyo achana na mazea naye kupita kias na kutengeneza utegemezi kwake na pia mwanaume unatakiwa usiwe muongeaji sana Bali kias tuWajomba na Mamshangazi habari zenu.
Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia.
Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi.
1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3
2. Kujibiwa majibu short kama "SIJUI, SINA,UTAJUA MWENYEWE"
3. Mpenzi wako kutokukuaga kwa lolote yaan anakuwa anajiamulia mwenyewe tu hadi ukimpigia simu ndio akuambie yupo sehemu fulani.
4. Kutokukutafuta asubuhi na usiku akitala kulala,muda wote anajifanya yupo BUSY
5. KUKUJIBU KWA HASIRA
6. Hajali kuhusu hisia zako pindi unapomueleza
7. Unampigia simu hadi mara 3 na kutuma sms zaidi ya 3 na hajibu lolote hadi masaa 3 au 6 pengine ndio imeisha hivyo.
8. Kumrekebisha makosa kila siku na bado anayarudia.
BINAFSI NILIPITIA CHANGAMOTO HIZI ILA NILIJIFUNZA KITU....!!!
Kwa mahusiano niliyokuwa nayo hapo awali niliteseka sana na nilipatwa na msongo wa mawazo, Binafsi sio mtu wa kuwa na wanawake wengi na sio mtu wa kutengeza mahusiano kila leo....ninapenda sana kuwa na husiano langu 1 muhimu sana.
NILIFANYA NINI?
Binafsi nilianza kujifunza haya na ilinisaidia kwa kiasi kikubwa kurejesha FURAHA BINAFSI
1. Nilijiweka chini nikajishauri kwa masaa 3 then nikaamua kukaa KIMYA.
2. Sikumtafuta tena, baada ya siku 3 alinitafuta kwa simu na sms na sikupokea simu yoyote na sikujibu lolote.
3. Nilijiweka Busy for nothing, yaani kazi zangu zikiisha najipa overtime ya kazi hata za wengine ili nisikae chini kuwaza ushenzi, nilijipa mzigo mkubwa sana.
4. Nilianza kuzingatia Afya zaidi na kutafuta amani yangu
5. Sikutafuta rafiki yake yeyote wala sikuongea na yeyote kuhusu mpenzi wangu, kifupi nilikata mzizi na kuondoka ma shina.
Hayo juu ni baadhi tu ya vitu nilivyofanya, kiukweli inaumiza kujitenga na mtu uliyempenda kwa dhati na kumjali kwa kila aombacho.
KUMBUKA.
Sikumuacha ila nilijipa muda kupona kwenye mateso na vifungo vya ajabu.
MAJIBU
Baada ya kugundua ukimya wangu ambao yeye aliona ni kero alianza kunitafuta kila saa na kuniuliza wapi nilipo ili aje tuongee, sikuwa najibu lolote zaidi ya ku bluetick huko whatsap tu hii ilimfanya akasogea zaidi na kumiss muda wangu kwake, haikuwa rahisi ila kwasasa tangu qjue kuwa ninaweza kuishi bila yeye amekuwa karibu na adabu imerudi.
FUNZO KWA WAJOMBA NA MAMSHANGAZI
JIFUNZENI KUITAFUTA AMANI YA MOYO WAKO MAANA ULIYENAYE ANAWEZA KUITUMIA KUKUUMIZA KWA KUKUONA WEWE MSUMBUFU.
INAUMA ILA INABIDI UZOEE.
NAOMBA KUWASILISHA
Hakika nakwambiaMuomba msamaha sio hahaha
Si ndio,,tena hata kosa sio languKumbe unaombaga msamaha
Ni kujishusha sana, mimi huwa napiga mara mbili kama isipopokelewa nikiona n jambo la muhim sana naandika ujumbe.100% correct, hivi umempigia mtu simu hajapokea kwa kutosikia au kusudi vyovyote vile unapiga tena sasa kama ya kwanza hajapokea au kujibu ya pili faida yake ni nini? hakupokea ya kwanza ndio atapokea ya pili? Kama hakusikia akiona atapiga lakini unapiga hapokei unapiga ya pili ndio anapokea basi jitafakari haraka kabla hujachelewa.
Umeandika kama braza keiEkizakitili kabisa,, yaani vere korekiti
Kimsingi wewe ulikuwa unalazimisha uhusiano ila baadae ukajitambua. Yote uliyoorodhesha kuwa ulikuwa unayafanya kabla ni mambo ambayo HUTAKIWI kuyafanya kwenye uhusiano.Wajomba na Mamshangazi habari zenu.
Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia.
Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi.
1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3
2. Kujibiwa majibu short kama "SIJUI, SINA,UTAJUA MWENYEWE"
3. Mpenzi wako kutokukuaga kwa lolote yaan anakuwa anajiamulia mwenyewe tu hadi ukimpigia simu ndio akuambie yupo sehemu fulani.
4. Kutokukutafuta asubuhi na usiku akitala kulala,muda wote anajifanya yupo BUSY
5. KUKUJIBU KWA HASIRA
6. Hajali kuhusu hisia zako pindi unapomueleza
7. Unampigia simu hadi mara 3 na kutuma sms zaidi ya 3 na hajibu lolote hadi masaa 3 au 6 pengine ndio imeisha hivyo.
8. Kumrekebisha makosa kila siku na bado anayarudia.
BINAFSI NILIPITIA CHANGAMOTO HIZI ILA NILIJIFUNZA KITU....!!!
Kwa mahusiano niliyokuwa nayo hapo awali niliteseka sana na nilipatwa na msongo wa mawazo, Binafsi sio mtu wa kuwa na wanawake wengi na sio mtu wa kutengeza mahusiano kila leo....ninapenda sana kuwa na husiano langu 1 muhimu sana.
NILIFANYA NINI?
Binafsi nilianza kujifunza haya na ilinisaidia kwa kiasi kikubwa kurejesha FURAHA BINAFSI
1. Nilijiweka chini nikajishauri kwa masaa 3 then nikaamua kukaa KIMYA.
2. Sikumtafuta tena, baada ya siku 3 alinitafuta kwa simu na sms na sikupokea simu yoyote na sikujibu lolote.
3. Nilijiweka Busy for nothing, yaani kazi zangu zikiisha najipa overtime ya kazi hata za wengine ili nisikae chini kuwaza ushenzi, nilijipa mzigo mkubwa sana.
4. Nilianza kuzingatia Afya zaidi na kutafuta amani yangu
5. Sikutafuta rafiki yake yeyote wala sikuongea na yeyote kuhusu mpenzi wangu, kifupi nilikata mzizi na kuondoka ma shina.
Hayo juu ni baadhi tu ya vitu nilivyofanya, kiukweli inaumiza kujitenga na mtu uliyempenda kwa dhati na kumjali kwa kila aombacho.
KUMBUKA.
Sikumuacha ila nilijipa muda kupona kwenye mateso na vifungo vya ajabu.
MAJIBU
Baada ya kugundua ukimya wangu ambao yeye aliona ni kero alianza kunitafuta kila saa na kuniuliza wapi nilipo ili aje tuongee, sikuwa najibu lolote zaidi ya ku bluetick huko whatsap tu hii ilimfanya akasogea zaidi na kumiss muda wangu kwake, haikuwa rahisi ila kwasasa tangu qjue kuwa ninaweza kuishi bila yeye amekuwa karibu na adabu imerudi.
FUNZO KWA WAJOMBA NA MAMSHANGAZI
JIFUNZENI KUITAFUTA AMANI YA MOYO WAKO MAANA ULIYENAYE ANAWEZA KUITUMIA KUKUUMIZA KWA KUKUONA WEWE MSUMBUFU.
INAUMA ILA INABIDI UZOEE.
NAOMBA KUWASILISHA
Ni wachache sana wenye uwezo wa kukaza kuanzia mwanzo. Mwanzo wa mahusiano mengi huwa kuna mihemko na kutumia hisia badala ya akili.Siku zote jithamini wewe kwanza na kuijua thamani yako,kabla ya mtu yeyote yule,
Usimpe nafasi Mwanamke akajiona yupo juu yako hata siku moja,usimpe nafasi ya kukutawala,usimuonyeshe kua unamuhitajia sana na huwezi kuishi bila yeye,
Mwanamke unatakiwa umuonyeshe your true color from the beginning before it's too late,
Heshima yako na thamani yako,vinajengwa na wewe mwenyewe.
ni ukoo mmoja ila babu na bibi tofautiUmeandika kama braza kei
Mnapata shida wanaume hawa wanawake wetu weusi hawa kuwa na hela mwache ajitie ujeuri anarudi mwenye mirasta ikianza kumuwashaSafi sana ,ubaya ubwela.
Kuna wengine vichwa maji. Uwe tayari kuachana endapo ukimlia buyu naye akakulia buyu. Halafu hii nadharia yako ina uhalisia mdogo sana kwa mahusiano ya ndoa.