future tech
JF-Expert Member
- Aug 26, 2023
- 305
- 455
Sijasoma lakini mapenzi yatawamaliza vijana. Kuweni makini
Kama haukuchepuka , njoo nikupe tuzo.Hii ni njia pekeee
Niliyoitumia baada ya njia zote kufeli
Mume wangu alikua ananiona kero na nilishafikia hatua ya kukata tamaa kabisa
Maana atakosea yeye mimi ndo nitaomba msamaha
Na kadhalika na kadhalika
Ila nilikuja kuwa busy nilijipa kazi nzito na ratiba ngumu
Then i stay like 3 weeks sitajmtafuta
Alishakua ameondoka (kikazi) ila mimi ndo nilikua bado nabembeleza
Hizo week 3
Kwa mara ya kwanza katika mahusiano yetu na ndoa miaka (10) ndio aliomba msamaha na kuomba tuanze upya
So now nina amani tele na sote kwa pamoja tuna amani
Ila niliamua tu kufocus na mimi,my self and i so nadhibitisha hii njia ina majibu
Mapenzi ni future yetu, acha tuyamalizeSijasoma lakini mapenzi yatawamaliza vijana. Kuweni makini
Unatombaje mpumbavu asiye kuona wa thamani?
Labda nimnyegeshe then akilegea yuko tayari kuliwa namuacha na nyeg e zake.
Mimi sikuchepuka ayseee demu wangu alinipa pigo ikabidi nireset to factoryKama haukuchepuka , njoo nikupe tuzo.
Acha yaniue tuMapenzi ni future yetu, acha tuyamalize
MaturityMimi sikuchepuka ayseee demu wangu alinipa pigo ikabidi nireset to factory
Dah inaumiza sana basi tuKuna mwingine yuko hivyo afu katumia gharama kibao nikasema maybe nikishajipigia mipass yangu atakaa sawa
Kazi ilikua ngumu mipass ikapigwa lakin baada yahapo hali hiyo bado ikaendelea
Nimefanya yote hayo lakin yeye kachili tu
Mwisho wasiku nimegundua sipendw nimecheki chimbo lingine tu
Commitment tuMaturity
Hilo ni chimbo langu miaka mingi ila kwasasa nmetulia hahahaha najua kila konaMwambaaa
Kama upo mwanza, nenda pale rock city mall ndani usiku saa nne na kuendelea
UTARUDI KUNISHUKRU!
Na inazoeleka sanaMwanzoni inakuwaga ngumu ila kuanzia siku ya tatu na kuendelea unaanza kuzoea taratibu hadi unaona kawaida
Mbunye haina restriction au sio? 🤣🤣Ndio madhara ya kudeti na teenagers. Tafta mshembembee uishi vizuri bila usumbufu. Mbunye ni online 24/7 on a single tap of your fingers!
Hii ya kumwachia upwiru hata akikutana na mbwa anampaUnakuwa umemchapa kitu 1 balaa hahaha ndoige
Muda ambao watoto wa kichina wana design engine wewe umekesha kwenye thread yangu na unasoma comment? Unaakili kaka?Wewe na yeye wote mnahitaji fimbo nyingi sana watoto wa kichina wanawaza viwanda nyie mnawaza Mapenzi tu
Hii ya kumwachia upwiru hata akikutana na mbwa anampa
Aliimba akijua kuna mbwa hazijui lolote ila kwa sasa aaaanhYanaanza kama safari
Twende fulani ukaone
Kumbe yana nguvu hatari
Ukishanasa ndio huponi.
Diamond