greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Kama alipata dv4 secondary ni ngumu sana kusoma huo mkatabaKwa uvivu wa waswahili Mazeri hawezi kuwa ameusoma mkataba ule, hilo nna hakika...sana sana amewaambia wasaidizi waende "kuutazama"!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alipata dv4 secondary ni ngumu sana kusoma huo mkatabaKwa uvivu wa waswahili Mazeri hawezi kuwa ameusoma mkataba ule, hilo nna hakika...sana sana amewaambia wasaidizi waende "kuutazama"!.
Wewe mku..nduchi kbs,yaani uingie kwanza kwenye mkataba,halafu baadae!!??.Watanzania wengi wajinga mnapiga kelele bila uelewa mngesubiri utekelezaji muone kwa vitendo.
Usiwe unachambua huu mkataba maana unadhalilisha nafasi ya uraisi, kiasi kwamba hata mwanangu wa form 2 anautaman uraisi anaona ni kazi nyepesi kuliko ualimu.View attachment 2668401
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika.
Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali mazito ya kujiuliza, na kuna maoni ya kutoa.
MASWALI.
1.) Je, ni kosa kutoa maoni juu ya utendaji mbovu wa serikali kuhusu mkataba huu? Kwamba ukitoa maoni hasi basi zinakuwa ni kelele? Sisi tunakupigia kelele?
2.) Je, hoja za wananchi (au kelele kama ulivyoamua kuziita) umezisikia vyema? Majibu yake ni yepi, kwanini usijibu hoja za msingi za hao wapiga kelele ili waache kupiga kelele? Au unazipenda hizi kelele?
MAONI
Kama mtu akiziba masikio, namna bora ni kuweka loud speaker na kumsogelea karibu, hadi akimbie yeye.
==========================
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hivi ni kweli Rais wetu kausoma ule mkataba?
Wewe umeona hizo hoja zimepewa majibu ya kueleweka?, nipe jibu la hoja moja tu kati ya hizo nilizowekaKila siku mnajibiwa hata leo pale kwenye kikao cha majumuisho ya mkutano wa katibu mkuu chongolo dodoma mmeelimishwa lakini bado mmekaza shingo.
Alaaa, form 4 failure?!!Kama alipata dv4 secondary ni ngumu sana kusoma huo mkataba
Hakuna anaepinga uwekezaji, shida ni masharti ya mkataba, jibuni hizo hoja basiMama kanyaga twende,ziba kabisq masikio maendeleo hayaji kwa kubembelezana na ndio maana magu aliamua kutosikiliza la mtuView attachment 2668822
Pale wametoa majibu ya upotoshaji tu.Kila siku mnajibiwa hata leo pale kwenye kikao cha majumuisho ya mkutano wa katibu mkuu chongolo dodoma mmeelimishwa lakini bado mmekaza shingo.
NonsenseKutoa maoni sio kosa bali kosa ni kulazimisha maoni yako yafanyiwe kazi.
Angalau sasa watu wanaongea na kutoa yao ya moyoni kabla ya hapo ni mwendo wa kupotezwa au kushughulikiwa.
Kama wabunge wamepitisha mi nakushauri fanya yako yanayoihusu familia, Kama vipi nenda ukaandamane uvunjwe kiuno. Mama kabeba dhamana ya kuwaletea maendeleo wananchi kwahiyo usimpangie namna ya kuleta hayo maendeleo, nenda kaandamane au subiri 2025 utoe hukumuu yako kwenye sanduku la mpiga kura
Kuna mwanahudhuri mmoja humu jamvini aliyedai, ninamnukuu....4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Kitu ambacho amekipuuza kwa makusudi kabisa ni hizi fedha zilizotumika kuiweka Bandari llipofikia... Fedha ambazo Watanzania wanapaswa kuzilipa....DP World siyo watu wa mchezo .... wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
500billioni TSh.hatua kubwa ya kwanza iliyolenga kusaidia sekta ya bandari ilikuwa ni kuipa TPA kifua cha vita cha 500bn / - kununua vifaa vya kisasa vya kushughulikia mizigo na teknolojia.
Serikali pia imewezesha kukamilika kwa programu mbalimbali chini ya Mradi wa Gateway ya Maritime Gateway wa Dola za Marekani milioni 421-Dar es Salaam (DMGP), ambao kwa lengo la kuboresha utendaji na ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam
Na hicho ndicho kinaniumiza, tumeachiwa mzigo mkubwa wa madeni kwa mikopo matrillion ya kurmdeleza bandari, lakini gawio la faida za bandari tutapewa 0% ??!!!Kuna mwanahudhuri mmoja humu jamvini aliyedai, ninamnukuu....
Kitu ambacho amekipuuza kwa makusudi kabisa ni hizi fedha zilizotumika kuiweka Bandari llipofikia... Fedha ambazo Watanzania wanapaswa kuzilipa....
Nanukuu vyanzo vingine chini....
500billioni TSh.
$420 million!
Vilevile kulikuwa na Millioni 80€ zilizoingizwa katika Bandari za Tanzania...hizo kwa kujumuisha ni....
Zaidi ya $500 millioni inayodaiwa inawekezwa na DPw....Ati ndio tuwalambe miguu kwa hilo!
Ni kweli ni Uwendawazimu!
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapaSisi tuna yetu.View attachment 2669078
For your freedom of speechNonsense
makuwadi ma madalali ya warabu tuyakataeKila siku mnajibiwa hata leo pale kwenye kikao cha majumuisho ya mkutano wa katibu mkuu chongolo dodoma mmeelimishwa lakini bado mmekaza shingo.
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapaKama hamuwezi kuvumilia maendeleo hamieni Burundi
Nendeni kautizameni , alafu kujeni na majibu. OverView attachment 2668401
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika.
Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali mazito ya kujiuliza, na kuna maoni ya kutoa.
MASWALI.
1.) Je, ni kosa kutoa maoni juu ya utendaji mbovu wa serikali kuhusu mkataba huu? Kwamba ukitoa maoni hasi basi zinakuwa ni kelele? Sisi tunakupigia kelele?
2.) Je, hoja za wananchi (au kelele kama ulivyoamua kuziita) umezisikia vyema? Majibu yake ni yepi, kwanini usijibu hoja za msingi za hao wapiga kelele ili waache kupiga kelele? Au unazipenda hizi kelele?
MAONI
Kama mtu akiziba masikio, namna bora ni kuweka loud speaker na kumsogelea karibu, hadi akimbie yeye.
==========================
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hivi ni kweli Rais wetu kausoma ule mkataba?
Tangu lini wabongo mkajielewa? Mi ndo maana nawapenda wakenya...mnapiga makelele nyuma ya keyboard ila kuandamana mioga Kama kunguru .,...Hizi kelele hazitakiwi kwisha, ili ajue anaongoza watu wanaojielewa, sio kondoo.
Mjadala umeshafingwaView attachment 2668401