FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
Mjadala umeshafingwa
Umefungwa na nani? Mbona bado tunajadili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala umeshafingwa
Ambao wamejificha nyuma ya keyboard..ila wakiitwa barabarani wanakuja watu 7.Hizi kelele hazitakiwi kwisha, ili ajue anaongoza watu wanaojielewa, sio kondoo.
Serikali haitarudi nyuma nyie endeleeni kujadiliUmefungwa na nani? Mbona bado tunajadili?
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapaSerikali haitarudi nyuma nyie endeleeni kujadili
Tunashida kubwa, hawa usalama wa taifa kazi yao ni kubinya pumb.u za watu tu. Mambo magumu kama haya wanajifanya hawayaoni, ni kama wameapa kulinda serikali na sio Nchi.View attachment 2668401
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika.
Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali mazito ya kujiuliza, na kuna maoni ya kutoa.
MASWALI.
1.) Je, ni kosa kutoa maoni juu ya utendaji mbovu wa serikali kuhusu mkataba huu? Kwamba ukitoa maoni hasi basi zinakuwa ni kelele? Sisi tunakupigia kelele?
2.) Je, hoja za wananchi (au kelele kama ulivyoamua kuziita) umezisikia vyema? Majibu yake ni yepi, kwanini usijibu hoja za msingi za hao wapiga kelele ili waache kupiga kelele? Au unazipenda hizi kelele?
MAONI
Kama mtu akiziba masikio, namna bora ni kuweka loud speaker na kumsogelea karibu, hadi akimbie yeye.
==========================
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hivi ni kweli Rais wetu kausoma ule mkataba?
Tunashida kubwa, hawa usalama wa taifa kazi yao ni kubinya pumb.u za watu tu. Mambo magumu kama haya wanajifanya hawayaoni, ni kama wameapa kulinda serikali na sio Nchi.
If a thing does not add up with others on paper then forget it, as it won't work on the ground!!! This is not a myth but a reality!! Mwenye masikio asikie!!!!Watanzania wengi wajinga mnapiga kelele bila uelewa mngesubiri utekelezaji muone kwa vitendo.
Sio 0% tu. Ili mkataba mama usimame,Serikali yetu ina ulazimu kujikita kubadilisha sheria zinazogusa ushuru na forodha au kuwapatia Incentives au kusamehe kodi kwa masuala mbali mbali yatakayogusa Uwekezaji wao kupitia HGA. Mfano magari yao ya miradi, Mishahara ya wale 60 if not 99% ya mejimenti!! Tunaweza fanya ulinganishi wa hili shauri na lile la Disney na jimbo la Florida ambapo kampuni lile limekuwa kama Serikali ndani ya Serikali- Hatari sana.Na hicho ndicho kinaniumiza, tumeachiwa mzigo mkubwa wa madeni kwa mikopo matrillion ya kurmdeleza bandari, lakini gawio la faida za bandari tutapewa 0% ??!!!
Ni hatari sana kuziba masikio Ukiwa unatembea Kwa miguu njia ya mwendo Kasi😳😳😳😳View attachment 2668401
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika.
Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali mazito ya kujiuliza, na kuna maoni ya kutoa.
MASWALI.
1.) Je, ni kosa kutoa maoni juu ya utendaji mbovu wa serikali kuhusu mkataba huu? Kwamba ukitoa maoni hasi basi zinakuwa ni kelele? Sisi tunakupigia kelele?
2.) Je, hoja za wananchi (au kelele kama ulivyoamua kuziita) umezisikia vyema? Majibu yake ni yepi, kwanini usijibu hoja za msingi za hao wapiga kelele ili waache kupiga kelele? Au unazipenda hizi kelele?
MAONI
Kama mtu akiziba masikio, namna bora ni kuweka loud speaker na kumsogelea karibu, hadi akimbie yeye.
==========================
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hivi ni kweli Rais wetu kausoma ule mkataba?
Wahini Mahakamani Ili upotoshaji ukomeView attachment 2668401

Amezungukwa na wapiga dili Kama akina Rostam, na mbumbumbu Kama akina waitala, nape na wengineoView attachment 2668401

Sisi tuna yetu.View attachment 2669078
View attachment 2668401

Wahini Mahakamani Ili upotoshaji ukome
Hilo nalo mkalitizame akamalizaKwa uvivu wa waswahili Mazeri hawezi kuwa ameusoma mkataba ule, hilo nna hakika...sana sana amewaambia wasaidizi waende "kuutazama"!.
Kisiasa ndio kinini Mzee? Wahini MahakamaniMbona hajajibu hoja yeyote, yaani anaongea kisiasa tu...!
Tunachotaka ni ufanisi bandarini nchi isonge mbele hatuwezi kucheleweshwa na hizo blaa blaa zenuHoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa