Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

View attachment 2668401

Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika.

Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali mazito ya kujiuliza, na kuna maoni ya kutoa.

MASWALI.

1.) Je, ni kosa kutoa maoni juu ya utendaji mbovu wa serikali kuhusu mkataba huu? Kwamba ukitoa maoni hasi basi zinakuwa ni kelele? Sisi tunakupigia kelele?

2.) Je, hoja za wananchi (au kelele kama ulivyoamua kuziita) umezisikia vyema? Majibu yake ni yepi, kwanini usijibu hoja za msingi za hao wapiga kelele ili waache kupiga kelele? Au unazipenda hizi kelele?

MAONI

Kama mtu akiziba masikio, namna bora ni kuweka loud speaker na kumsogelea karibu, hadi akimbie yeye.
==========================

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

Hivi ni kweli Rais wetu kausoma ule mkataba?

==========================

========================
Masikio yanaanza kuzibuka

we ishi na upotoshaji wako huo na uzushi wa kipuuzi hakuna atakayekusikiliza, kwanza ni mwongo, mzushi, mzandiki, uliyejaa chuki we ni wa kupuuzwa tu. Lengo lenu ni kumkwamisha rais wetu hamtafanikiwa abadani. Eti bandari zote za Tangantika, hiyo Tanganyika ni nchi yako na mamako? Pili bila aibu bandari zote, mtoto wa kiume ukiwa mwongo na mmbea ni aibu na fedheha kwako.
 
mtakuja kutapika pesa za watu mlizozila ktk kampeni yenu hii ya kizushi
 
we ishi na upotoshaji wako huo na uzushi wa kipuuzi hakuna atakayekusikiliza, kwanza ni mwongo, mzushi, mzandiki, uliyejaa chuki we ni wa kupuuzwa tu. Lengo lenu ni kumkwamisha rais wetu hamtafanikiwa abadani. Eti bandari zote za Tangantika, hiyo Tanganyika ni nchi yako na mamako? Pili bila aibu bandari zote, mtoto wa kiume ukiwa mwongo na mmbea ni aibu na fedheha kwako.
Jibu hoja hizo..
 
Hivi ule mkataba ( wawa china na bandari ya bagamoyo ) alio ukataa JPM na huu wa mama wa dpworld, ina tofautiana wapi au ina fanania wapi
 
sasa watu km ni aina yako kwanini msipuuzwe? Mamako alifaulu hata sekondari?
Mtu kafeli form 4 halafu anakuja kutuuza, tukae kimya? Hivi hamna aibu hata chembe nyie wala urojo na wakaa vibarazini? Hata bili za umeme tu hamtaki kulipa, ni watu wa namna gani nyie? Stupid parasites, tuacheni, tumesema hatutaki!!! Kwani lazima?!!
 
Back
Top Bottom