Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Ila hawa nao wangetulia kidogo kwanza 😂Sisi tuna yetu.View attachment 2669078
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hawa nao wangetulia kidogo kwanza 😂Sisi tuna yetu.View attachment 2669078
Nini tofauti ya makubaliano na mkataba?Watz tuelewe.
Hadi sasa hakuna mkataba. Bali makubaliano kati ya nchi na nchi.
Kwa maana ya states.
Mkataba utakuja kati ya tpa na dpw.
Hivyo hakuna accountability yyt ambayo mama anapaswa kuwajibika.
Kwa ufupi Mama anapaswa kujosolewa kwa kuwa yeye ni accountable.
Lkn kuna mwenye responsibility hamtaki aguswe.
1. Mwanasheria Mkuu.
2. Baraza la mawaziri
Kama kweli tunahitaji kuingozwa kwa utawala wa sheria hawa ndio wanapaswa kujibu hoja hizi.
View attachment 2668401
Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika.
Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali mazito ya kujiuliza, na kuna maoni ya kutoa.
MASWALI.
1.) Je, ni kosa kutoa maoni juu ya utendaji mbovu wa serikali kuhusu mkataba huu? Kwamba ukitoa maoni hasi basi zinakuwa ni kelele? Sisi tunakupigia kelele?
2.) Je, hoja za wananchi (au kelele kama ulivyoamua kuziita) umezisikia vyema? Majibu yake ni yepi, kwanini usijibu hoja za msingi za hao wapiga kelele ili waache kupiga kelele? Au unazipenda hizi kelele?
MAONI
Kama mtu akiziba masikio, namna bora ni kuweka loud speaker na kumsogelea karibu, hadi akimbie yeye.
==========================
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Hivi ni kweli Rais wetu kausoma ule mkataba?
==========================
Inahitaji uwe mkatili sana kuwauza waTanganyika wazima wazimaKwamba huamini kama rais kasoma mkataba ?
Watanzania wengi wajinga mnapiga kelele bila uelewa mngesubiri utekelezaji muone kwa vitendo.
Yaani hadi sasa, hakuna hata hoja moja waliyoweza kujibu
- Tuone kwa vitendo namna ambavyo kampuni imepewa mamlaka juu ya BANDARI ZOTE ZA BAHARI NA MAZIWA.
- Unaweza kuwa wewe ndio mjinga kiongozi ambaye hata hujasoma kilichoandikwa, bali unasubiri uone utekelezaji. Ndio wavivu wa kusoma mlivyo. Je unakumbuka hata gesi ilinadiwa kwa ahadi kama hizi, na sasa kimya?
- Msingi wa DP kupewa BANDARI ZOTE ni ziara ya siku moja, je hiyo si ishara ya 'state capture'?
Nini tofauti ya makubaliano na mkataba?
Kwenye uchumba pande mbili zinazohusika huwa zinaweka saini kwenye makubaliano?Mfano rahisi.
Consession = Uchumba = makubaliano
Contract = Ndoa = mkataba.
Kwenye uchumba pande mbili zinazohusika huwa zinaweka saini kwenye makubaliano?
Uchumba? Mnatia saini makubaliano? Uchumba wa wapi huo? Henu weka hata clip moja watu wanapovishana pete ya uchumba wakatia saini cheti cha uchumba, labda mi nimepitwa na wakati..Yes boss.
Au ulipenda wafanye kama kule bonyokwa au kwa mpalange
Uchumba? Mnatia saini makubaliano? Uchumba wa wapi huo? Henu weka hata clip moja watu wanapovishana pete ya uchumba wakatia saini cheti cha uchumba, labda mi nimepitwa na wakati..
Wewe si ndio umelinganisha hayo makubaliano na uchumba? Au sio wewe? Sasa uchumba huwa kuna makubaliano yanayotiwa saini baina ya wachumba? Sasa unakimbia nini we mbwa? Rudi hapa! Eleza tofauti ya ‘majubaliano’ na ‘mkataba’, maana hiyo ya uchumba unashindwa kuiteteaBoss umepitia finance.
Unajua manufaa ya uchumba ktk finance.
Wenzio hiyo ni heshima kwao na faida kwa upande wa usimamizi wa pesa.
Haya si makubaliano ya uchumba wa kwampalange.
Sasa kama hujui masuala ya finance nikupe hongera kwa misimamo ulionayo na Umeshinda wewe.
Toka lini watanganyika tukasikilizwa chief? Wanajua sisi ni waoga,thus why wanatugeuzageuza kama chipsi na hatuna cha kuwafanya.Ingekuwa Nigeria hapo wangekinukisha mbaya hadi wasaniii,kwetu ni kinyume wakina Diamond wanawakatia viuno haohao mabwanaHii nchi ni yetu sote. Kila MTU ana haki ya kusikilizwa.
Sudan kuko kulivyo kwasababu Kuna kikundi kilikua hakisikilizwi.
Elimu nyingine sio lazima ufike form six. Hata form foo inaweza kukusaidia.
Mama anaona Watanzania wana kelele na sio maoni kaamua kama ni mbwai iwe mbwai
Hawasikilizi na wala hajiuzulu tuone sasa mtamfanya nini zaidi ya kuishia kupiga mikelele tu humuHuyu maza ana dharau, utawazibia vipi masikio watu unaosema unawatumikia?
Kama hataki kusikiliza maoni ya wananchi ni vyema ajiuzulu
HILI NALO MKALITIZAMEView attachment 2668424