Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

Usiwe unachambua huu mkataba maana unadhalilisha nafasi ya uraisi, kiasi kwamba hata mwanangu wa form 2 anautaman uraisi anaona ni kazi nyepesi kuliko ualimu.
 
Kila siku mnajibiwa hata leo pale kwenye kikao cha majumuisho ya mkutano wa katibu mkuu chongolo dodoma mmeelimishwa lakini bado mmekaza shingo.
Wewe umeona hizo hoja zimepewa majibu ya kueleweka?, nipe jibu la hoja moja tu kati ya hizo nilizoweka
 
Nonsense
 
Kuna mwanahudhuri mmoja humu jamvini aliyedai, ninamnukuu....
DP World siyo watu wa mchezo .... wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Kitu ambacho amekipuuza kwa makusudi kabisa ni hizi fedha zilizotumika kuiweka Bandari llipofikia... Fedha ambazo Watanzania wanapaswa kuzilipa....

Nanukuu vyanzo vingine chini....

hatua kubwa ya kwanza iliyolenga kusaidia sekta ya bandari ilikuwa ni kuipa TPA kifua cha vita cha 500bn / - kununua vifaa vya kisasa vya kushughulikia mizigo na teknolojia.
500billioni TSh.
Serikali pia imewezesha kukamilika kwa programu mbalimbali chini ya Mradi wa Gateway ya Maritime Gateway wa Dola za Marekani milioni 421-Dar es Salaam (DMGP), ambao kwa lengo la kuboresha utendaji na ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam

$420 million!
Vilevile kulikuwa na Millioni 80€ zilizoingizwa katika Bandari za Tanzania...hizo kwa kujumuisha ni....

Zaidi ya $500 millioni inayodaiwa inawekezwa na DPw....Ati ndio tuwalambe miguu kwa hilo!

Ni kweli ni Uwendawazimu!
 
Na hicho ndicho kinaniumiza, tumeachiwa mzigo mkubwa wa madeni kwa mikopo matrillion ya kurmdeleza bandari, lakini gawio la faida za bandari tutapewa 0% ??!!!
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Kama hamuwezi kuvumilia maendeleo hamieni Burundi

Nendeni kautizameni , alafu kujeni na majibu. Over

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Hizi kelele hazitakiwi kwisha, ili ajue anaongoza watu wanaojielewa, sio kondoo.
Tangu lini wabongo mkajielewa? Mi ndo maana nawapenda wakenya...mnapiga makelele nyuma ya keyboard ila kuandamana mioga Kama kunguru .,...
 
Mjadala umeshafingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…