Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

Attachments

Rais wa nchi siyo size yako we kahangaike na wahuni wenzio hapo mtaani kwenu. Inaoneka malezi yako yana shida
 
Kwa kilatini Wanasemaga “ locuta causa finita “
 
umechoka amani siyo, hata hayo makande yamekuvimbisha hutayapata kwa hayo unayoyatamani.

Huyo unaemtisha nani sasa? Kwani sasa hivi amani ipo Acha kuwa na akili ndogo kisa hongo ambayo utakufa na kuiacha huku vizazi na vizazi vikipoteza uhalali wa nchi yao
 
Anna Tubaijuka: Mama hebu muogope Mungu , kuwa na hofu
 
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
 
Hii nchi ni yetu sote. Kila MTU ana haki ya kusikilizwa.
Sudan kuko kulivyo kwasababu Kuna kikundi kilikua hakisikilizwi.

Elimu nyingine sio lazima ufike form six. Hata form foo inaweza kukusaidia.
Kuna watu wanadhani itakuwa hivi miaka yote, ipo siku hata nyumba zao watazikimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…