Dawa ya Umaskini, madeni, ukata, mifuko kutoboka, uhitaji, kufilisika hii hapa!

Maskini wapo tangu enzi na enzi.

Mungu ameagiza tuwape msaada maskini.

Asema, amhurumiaye maskini......

Ubarikiwe. Amen
Uko sahihi
Ila sio kwa ombaomba Hawa tulio nao barabarani now days🙌
Labda uwe na macho ya rohoni kujua huyu ndiye na huyu siye
Bora nitafute hao wahitaji wengine km yatima,wajane nk

Sasa wafundishe aina za sadaka na namna ya kuzitoa,itawasaidia zaidi!
Wengine wanapitia Hali ngumu kwasababu tu hawajafuata kanuni, wamemuibia MUNGU ,nk

Mfano ,mtu analalamika mshahara haukutani lkn hajawahi toa zaka(fungu la kumi)
Na ukisoma mslaki pale Kila kitu kipo wazi....
 
Uko sahihi
Ila sio kwa ombaomba Hawa tulio nao barabarani now days🙌
Labda uwe na macho ya rohoni kujua huyu ndiye na huyu siye
Bora nitafute hao wahitaji wengine km yatima,wajane nk
Uko sawa.

Mungu akuongoze. Majirani wanaotuzunguka Wana Hali ngumu sana, tuanze na hao,

Mfano unakula vizuri kwako unatupa Hadi chakula jalalani na hujui Jirani Yako analala njaa.

Mungu atusaidie.
 
Sijasoma yote ila nahisi ni chai bila Shaka...hakuna kukaa na hela NI haki yako ya msingi kufilisika
 
(Yakobo 4:3).

Hata mwaomba Wala hampati,Kwa Sababu mwaomba vibaya, Ili mvitumie Kwa tamaa zenu.

NB: Nenda kafanye nilichokuagiza, Mungu asipokujibu Rudi kuniita mwongo.
Wewe acha kutudanganya hapa kawadanganye wapumbafu wenzio

Bandiko lako limenikera sana sababu sister wangu kwa ujinga wake kama wako wewe alipeleka sadaka milioni 8 pamoja na kumpa mchingaji nissan patrol

Mpaka hv ninapoongea kawa maskini wa kutupa na watoto okabid wakamnyang'anye lile gar baba mchungaj

Usishaur watu wafanye huo upumbafu
 
Uko sawa.

Mungu akuongoze. Majirani wanaotuzunguka Wana Hali ngumu sana, tuanze na hao,

Mfano unakula vizuri kwako unatupa Hadi chakula jalalani na hujui Jirani Yako analala njaa.

Mungu atusaidie.
Ni sahihi kabisa!
Hebu rudia comment
Nime edit!
 
Ukipeleka sadaka Yako Kwa manabii wa uongo imekula kwako,

Peleka sadaka pale muhimbili Kuna wazazi hawana pesa watoto wao wafanyiwe operation,

Peleka sadaka Kwa wajane, au somesha yatima.

Mungu atakubariki sana.

Amen
 
Ubarikiwe.

Mzee Kulola enzi ya uhai wake, aliwahi shuhudia kuwa,

Siku moja akiwa kazini kabla ya kuanza huduma alisemeshwa na Roho mtakatifu kumpelekea mtumishi mmoja mshahara wake wote ndugu huyo,

Alipofika, na kugonga mlango wa Mchungaji yule, alimpa kiasi kile kikubwa Cha pesa.

Mchungaji alipoona pesa Ile alianza kulia kama mtoto mdogo.

Mr Kulola akamuuliza kwanini unalia, alisema Wana siku tatu mchana na usiku hawajala chakula sababu hawana pesa.

Mungu atusaidie.

Amen.
 
Mungu ameruhusu kujaribiwa kupitia matoleo pekee.

So Mbingu zinatushangaa kuwa wahitaji ilhali IPO KANUNI ya kumjaribu Mungu na hatuitumii kupata pesa.
Mungu hajaribiwi kwa namna yeyote ile.
 
Mungu hajaribiwi kwa namna yeyote ile.
Mungu anajaribiwa Kwa sadaka, matoleo na ZAKA.

Ikiwa ameruhusu kujaribiwa ktk Hilo, basi kuwa maskini ni kujitakia.

Soma( Malachi 3:10-12).

Ubarikiwe.
 
Mwaka 2010 nikiwa chuo Kuna mwanafunz wa primary alinipita njian alikuwa amechafuka saana,nikamuuliza shida n nn akasema Hana sabun.nikampa elfu 2 na ndo nilikua nayo nikamkumbatia nikamuaga,kesho yake nikapata muamala wa elfu 40000.
 
Ubarikiwe!!

Maskini asiye na pesa nyingi ni Rahisi kumjaribu Mungu na kujinasia Kutoka lindi la Umaskini kuliko tajiri.

Wengi Walio wahitaji hukosea Kwa kutomjaribu Mungu na kukaa kusubiri kusaidiwa.

Ukisaidiwa, ukipewa msaada, unahamishwa baraka na utajiri ulionao uende Kwa aliyekusaidia.

Ndomana familia nyingi zenye Upendo kupokea wageni na kusaidia watu haziishiwi pesa, ila maskini mchoyo asiyetoa huzidi kuwa maskini.

Mungu aisaidie Nchi yetu pia ianze Kutoa msaada Kwa mataifa mengine kufungua mlango wa baraka.

Amen
 
Hivi hapo,
Mfano nimepata laki moja,

Napaswa kutoa Kiasi gani hapo?

Na wapi sehemu sahihi hasa ya kutoa ,
Kanisan au wahitaji moja kwa moja,

Mfano hapa nna ndg yangu yupo mbali ananililia shida,
VP nimpe yeye hicho kiasi au nipeleke kanisan?
 
Mwaka 2010 nikiwa chuo Kuna mwanafunz wa primary alinipita njian alikuwa amechafuka saana,nikamuuliza shida n nn akasema Hana sabun.nikampa elfu 2 na ndo nilikua nayo nikamkumbatia nikamuaga,kesho yake nikapata muamala wa elfu 40000.
Na ulipata 2000*20=40,000

Yaani Mungu aliizidisha 2000 mara ishirini na kukurudishia 40,000 ulipotoa 2000.

Mimi nawashauri vijana wanaopoteza Muda kufanya betting wahamie kutumia njia ya kumjaribu Mungu kupitia matoleo,sadaka na ZAKA watatoboa haraka zaidi.

Amen
 
Yesu akajibu akamwambia, Imenenwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.
 
Huu upumbavu upo Afrika tu [emoji3]
 
Hivi hapo,
Mfano nimepata laki moja,

Napaswa kutoa Kiasi gani hapo?

Na wapi sehemu sahihi hasa ya kutoa ,
Kanisan au wahitaji moja kwa moja,

Mfano hapa nna ndg yangu yupo mbali ananililia shida,
VP nimpe yeye hicho kiasi au nipeleke kanisan?
Kwenye lak Moja 10% yake ni 10,000hiyo ni ya Mungu, ukiila unakula mtaji.

Ndugu Yako msaidie kiasi utakachoona kinafaa kwenye 90 ilobaki.

Kumjaribu Mungu ni zaidi ya hapo.

Kumjaribu Mungu ni kuchukua mshahara mzima 100,000 na kwenda kuwagawia maskini Kisha wewe ukarudi nyumbani mikono mitupu na kumjaribu Mungu ukimwambia nimekujaribu Leo nione ikiwa utakubali nice njaa au la, sadaka ya namna hiyo ndiyo inayoweza kukutoa kwenye Umaskini Si kumpa Mungu change zilizobaki kwenye nauli ya daladala.

Ukitoa sadaka sarafu zilizobaki, Mungu atakurudishia sarafu hizo hizo,

SHERIA ya utoaji inasema, kile ukitoacho ndicho hukurudia Kwa kuzidishwa.

Kuna matajiri wengi duniani wamefika hapo walipo Kwa Kutoa ZAKA 5/10 ,7/10 Badala ya ZAKA ya 1/10.

Mungu ni mwaminifu sana.

Ubarikiwe.
 
Pmj Mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…