Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kwani wauza Unga hawana watoto? C.c Clinton MboweAnavyosema Mbowe ni "Muuza Unga" ni dhihaka pia, Mbowe naye ana watoto wanamuita baba.
Ndoto za mjinga.Ccm itaondoka madarakani kama alivyoondoka firauni.
wanaoogopa kufa ni wale wanaojipeleka wenyewe polisi!Ila ni hatari waweza askari kuja na mizinga na vifaru na mabomu wakapiga ulipojificha kwa kuwa hawajui una nini huko ndani ulikojificha.Ni hatari kubwa kuliko kujisalimisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashangaa kiongozi mkubwa kama Mbowe kuogopa Polisi, wanamshinda ujasiri hata akina Wema na Tid.
Ndoto za mchanaNdoto za mjinga.
angeenda wiki iliyopita angeokoa muda. Kama mwananchi wa kwaida anachukuliwa mtaani anakwenda kuisaidia polisi Huyu kiongozi wa wananchi anashindwaje kujitolea asaidie kuwa mfano kwa maelfu ya wananchi wanaoangamia na kuteketea kwa madawa. hayo mengine ni hisia zako tu mkuu
Atawekwa ndani na kunyimwa dhamana kisha kufunguliwa kesi ya kutoitikia wito!Taarifa nilizopata kutoka kwenye chanzo changu cha kuaminika ni kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE ametiwa nguvuni na Jeshi la Polisi baada ya jitihada za kukimbia na kujificha kushindikana.
Mbowe amekamatwa maeneo ya Mikocheni ambako alienda kujificha ili asikamatwe na Jeshi la Polisi.
Kwa sasa wapo njiani kuelekea Central ambako atahojiwa kutokana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya pamoja na kulisababishia usumbufu na gharama jeshi la polisi.
BoraWe jamaa ni Nomaaaa...na huwa Hubahatishi Aiseee,tunasubiri Mkuu.
Na apimwe harakaNina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa
Habari za uongo ushaleta nyingi sana tu humu,ila haimaanishi kuwa na hii ni ya uongo!Nina hakika na taarifa hii. Sijawahi kuleta habari ya uongo hapa