Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Hapa safi
maana Mbowe ni Mtanzania kama watanzania wengine
lazima kuheshimu mamlaka
 
Tatizo maelezo kutoka juu. Wewe na mimi hatujui. Ila ninachojua huu upuuzi una mwisho.

Ndiyo maana nasema kuna siku Sirro atasema,na ukweli huwa haujifichi hata huyo Makonda atasema kwanini amefanya hivyo.
 
Wahusika wa mtandao huu futeni huu Uzi, unapotosha na unaleta picha mbaya kwa rais wetu . mbowe amejipeleka mwenyewe.
 
rudi uwasaidie ndugu zako kule lizaboni na msamala wanapata shida.
 
Hakuna alie juu ya sheria .take care guy,nenda kachukue dhamana ya tuhuma zake il yy aachiwe.
Tatizo lenu kila jambo mnaingiza siasa .
Acheni serikali ifanye kazi.mbivu na mbichi zijulikane
 
Tundu Lissu: Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi

Tumaini Makene: Mbowe amejipeleka mwenyewe Polisi

Wenye akili wanajua nani ni mkweli na nani ni propaganda

ya kwako ndiyo Propaganda,jibu unalijua vyema kwamba ameenda mwenyewe.
 
Kwa jinsi ulivyo andika uzi huu, bila shaka una element za Uchochezi
 
Acha kudanganya watu
 
Ujumbe murua kabisa ila subiri matusi toka kwa wale wa ufipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…