Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Mkuu, ikithibitika hizi taarifa si za kweli naacha kuitetea CCM na Serikali na nitajiunga na Team Lowasa kama ulivyofanya wewe

Nilikuwa nahisi ndio kazi yako. Ila kwa sasa nashukuru umekiri mwenyewe. Kazi njema mkuu
 
jamani tusipanick cz kila anaye enda hukoo hamna alikutwa na hatia ya kuuza baliii ni ya kutumiaaa hope that hata mboe atatoka na tutapata jibu kwamba sio muuzaji bali mtumiaji.... thc lk aphilpiins movie mwisho wa picha u nw everthing while episode 7_50.... ha ha ha haha aha ha 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂😛😛😛😛😛😎😎😎 tumuombeee mungu TANZANIA yetu iwe na amani na sisi tuwe watu wa kusubiri na kutarajia mema kila sikuuu.....
 
Taja chanzo cha habar na pia ueleze uhakika wako kwamba alienda kujificha mikocheni na si kwamba alikua ktk mizunguko yake
 
Yeye kwenda aliona nini ,mpaka wiki nzima ndio anaenda mpaka alazimishwe kama kitoto kisichana kinachotongozwa bhna
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ameamua kwenda mwenyewe Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kuitikia wito. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene

Hii picha haihusiani na tukio la leo
 
Tumekusoma mkuu.
 
Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe akiwa Kwenye Mkoa wetu wa Dar es salaam, Ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Police.

Taarifa za kusema ya kwamba jeshi la police limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinataka kulenga kitu gani...Taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa.
By Henry Kilewo
Katibu Mkoa wa Dsm
 
Reactions: BAK
Yeye kwenda aliona nini ,mpaka wiki nzima ndio anaenda mpaka alazimishwe kama kitoto kisichana kinachotongozwa bhna

Kaka hebu angalia lugha yako unachoongea ndicho kilichoko kwenye ubongo wako.Amesema aitwe kwa summons sasa polisi wamempelekea ameenda kuna kingine??
 
Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?

Kajificha vipi wakati unaambiwa wamemkuta getini,mtu mwenye akili timamu anaweza jificha getini? Mbona unabadilisha maana au ndiyo uko upande ule unaosema nchi haina njaa?
 
Kaka hebu angalia lugha yako unachoongea ndicho kilichoko kwenye ubongo wako.Amesema aitwe kwa summons sasa polisi wamempelekea ameenda kuna kingine??
Hahaha eti wamempelekea
Ficha ujinga wako sema ukweli
alijificha kichwa
mwili woote upo nje!!
 
Kwa hiyo?
 
Relax, nadhani kauli zako ndio za chuki hadi unafikia kutoa proposal ya kugawa taifa kisa mwenye kiti wa chama cha upinani ambaye anahitwa kutoa maelezo na maoni yake kuhusu madawa ya kulenya ikibidi kama itaonekana hivyo na wahusika apimwe kabisa ili jamii ijue ni nia yake njema ya kupambana na madawa. Wengine hawa watu huwa tunawaonamajukwaani tu ila maisha nje ya jukwaa hata wewe hujui, tuache vyombo vifanye kazi kama wanamuonea taratibu zingine zifuate.

Ila unalialia na kulalamika sana ndugu. Punguza political emotions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…