Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Mkuu nasikia kweli yupo police Kuna possibility akalala Leo sero eti
 
Hahaha eti wamempelekea
Ficha ujinga wako sema ukweli
alijificha kichwa
mwili woote upo nje!!

Unaona unavyoandika kama vile umwehuka.Haya hongera Makonda amekulipa ngapi leo??Cha msingi kamweleze SIASA za chuki hazijengi TAIFA bali zinabomoa
 
Hizi ndio habari za kuaminika sasa,sio zile za kina Lizaboni,YEHODAYA,Moto chini na wengine wasiojitambua
 
Bora ameenda hii itapunguza maneno mengi sana. Cha muhimu apewe heshima yake ya kuwa ni kiongozi wa upinzani. INNOCENT UNTIL PROVEN GUILTY.

Tusijaribu kuwa polici NA mahakama hapa JF. I am not a chadema Member but the thing I hate most is injustice.

NA tusimsahau ndugu yetu Ben Saanane?
 
Mbowe siyo mboe ,alaaa
 


Na huyu Millard Ayo utasemaje? Acha kutumika kijana
 
Samahani hivi mbowe ninani wako vile??
 
Taja chanzo cha habar na pia ueleze uhakika wako kwamba alienda kujificha mikocheni na si kwamba alikua ktk mizunguko yake
Tupe fact kuwa hakujificha mikocheni ,ila alikuwa kwenye mizunguko yake .argrrrr
 

Wale wanaojuhusisha na madawa si ndiyo waliokupa cheo na magari uanyotambia leo??

Hakuna kurelax acheni chuki hazijengi.Mnapowabagua wapinzani mnategemea waafanyeje??Au waendelee kuwachekea?Unadhani huyo Mbowe angekuwa anajihusisha na madawa miaka yote 20 angekuwa abdo huru??

Muogopeni sana Mungu kwa dhati kabisa maana kuna siku mtalia na kusaga meno.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman
Mbowe ameamua
kwenda mwenyewe
Kituo cha Polisi DSM,
kuitikia wito. Chanzo ITV
 
Bosi wenu kileo kasema amejipeleka ,huku tundu lissu anasema amekamatwa mbona hakuna ,uelewano baina yenu .???

Wewe aliyekwambia Lizabon,sababu ni UVCCM mwenzako sawa?Lissu yuko Bunda amekisikia mlichokipublicise.

Tuanelewa ni amri kutoka magogoni lakini miaka si mingi ianpita kama maji yaendevyo kwenye mto
 
Kuna siku unayofurahia leo kesho utakuja kulia ukose hata wa kukusemesha.As long as anajiamini hatumii madawa sioni shida.

nani kasema anatumia madawa??

kaitwa kutoa taarifa, kuulizwa na kutoa ushahidi.....kujifanya kukataa na ubabe ndio vina mgharimu
 
Serikali hii si ya kispoti spoti. Haionei mtu na wala haipendelei mtu

GSM , Kinjekitile na Ridhiwani ni watu ambao inadaiwa wanauza unga kwanini hawakufatwa kuhojiwa? hapo tayari upendeleo pia muuza ARV fake anawezaje kushiriki mambo ya kitaifa wakati matendo yake yanakijambazi na kiuaji? Manji kashtakiwa kwa kuwa na wafanyakazi wasio na kubali nchini kwanini pia hamkumshika dangote na ye kuna watu hawana vibali vya kufanyakazi nchini?
 
Kinacho nisikitisha sana kwa sasa ni kwamba wanaume wengi wamekuwa na tabia za wanawake sijui hii inaashiria nini kwa taifa hili la viwanda ,mh.rais kweli anawatu wa kumsaidia kwenye hili la viwanda kama nguvu kazi tegemewa inapote kweli?
Wanaume wamekuwa washadadiaji wa mambo kama wanawake wacheza vigodoro ,wanaume wengi mmekuwa wambea kupindukia hata kwa mambo msiyo yajua kwa kina ,tanzania yangu inapoteza wanaume makini kila siku kadri siku zinavyo songa mbele NAIHURUMIA NCHI YANGU.
 
Amekamatwa mkuu mbona mbishi Bila kufanya utafiti hilo limethibitwa na sirro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…