Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Acha uonga CDM toka lini ina majengo?Uongo mpaka kwenye kiuno loh.Mwanamke kuwa na ustahimilivu na hekima japo kidogo.Dada atakayekuzika humjui.Wala kesho yako huijui pia.

Unayefikiri kwa kumsakizia madawa awe masikini hatakuwa masikini.Umasikini si wa mali hata akili pia
 
Mbona munatuchanganya!!!!??? CCM wanasema lao na huku CHADEMA wanasema lao???!!!

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA

Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Polisi kwaajili ya mahojiano.
Taarifa zinazo sambaa kwamba jeshi la polisi limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinalenga nini taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa, na Jeshi la Polisi,hivyo nayeye kama Kiongozi anataka kujua nini hasa jeshi hilo linahitaji.

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa

Lizaboni hebu tupe taarifa nini kinaendelea kuhusu Philemon ?

Kisha utuonyeshe namna mtukufu anavyofurahia kwa sasa ktk nchi yenu ya viwanda na uchumi wa kati
 
mkuu usitoe povu la buree...Mbowe alitaka taratibu zifuatwe so as wanasheria wake...na taratibu zimefuatwa ndiyo maana leo karipoti
 
Kachukue buku 7 lumumba sasa mnatetea ujinga
Kamanda jana ulifungua thread kwa tamko koko kutoka bavicha.Mlidhani hilo teja lenu haliwezi kukamatwa?
Mbowe ana mlinzi na dereva toka serilikalini,anawasiliana na sumaye na Lowassa wenye walinzi na madereva toka serikali unategemea nini?wanarusha tu coordinates,ndio maana kakamatwa getini anataka kutoroka!
 
Kama ni kweli basi Mbowe anajimaliza kisiasa, kwa nini ajifiche kama hana dosari?

Si ndio hapo mkuu! Mtu kama unajiamini kwa nini ujifiche nyumba hadi nyumba kuwakwepa Polisi,yaani anaiga mbinu za Escobar!!
 
MBOWE HAJAKAMATWA NA POLISI....
MBOWE KAJISALIMISHA MWENYEWE POLISI na hii ndio taarifa sahihi!!
 
Makondae unalaana sana nadhani waliokuharibu ukiwa mdogo huko waliko wananchekelea sana unaandika mwenyewe story as if ni kitu cha maana sana nchi imewashinda munaleta upuuzi hapa
 
mkuu usitoe povu la buree...Mbowe alitaka taratibu zifuatwe so as wanasheria wake...na taratibu zimefuatwa ndiyo maana leo karipoti
acha kujifariji wewe Tanapa,Mbowe kakamatwa getini anataka kutoroka.taratibu gani zimefuatwa,aliemwambia anywe maji ya madafu atoe madawa mwilini amemdanganya
 
daaah hii hatari aisee utawala bora uko wapi utawala wa sheria uko wapi demokrasiya iko wapi semeni basi huu utawala wa kifalme hauna katiba wala sheria tujue moja hakuna haja ya kuwa na upinza tanzania kama hao wapinzani hawaheshimiwi

Utawala bora ni ule wa kudharau viongozi walioko madarajani!

Demokrasia ni kusema na kufanya/kutenda lolote bila mipaka.
 
Duh huyu mbowe kakamatwa kama saddam alikua amejificha shimoni .
 
Baada ya kukaa Mafichoni kwa Muda mrefu Mheshimiwa Mbowe ameweza kutiwa Nguvuni mchana wa Leo na Vijana shupavu wa Jeshi la Polisi.

Mbowe alikua Kajificha Mikocheni baada ya day and night hunt waliweza kumfuma japo kumekua na upotoshaji kutoka CHADEMA unaopamba habari kuwa eti amejipeleka yeye mwenyewe.

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA

Waheshimiwa Viongozi na Wanachama wa Chadema Dar es salaam, Siku ya leo Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda Central police baada ya kuwepo na Taarifa nyingi kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii kuwa anahitajika Polisi kwaajili ya mahojiano.
Taarifa zinazo sambaa kwamba jeshi la polisi limemkamata na kumpeleka Central police ni taarifa za uongo ambazo hatujui zinalenga nini taarifa sahihi ni Kwamba Mhe.Freeman Mbowe ameamua kwenda baada ya taarifa kuzagaa kuwa anatafutwa, na Jeshi la Polisi,hivyo nayeye kama Kiongozi anataka kujua nini hasa jeshi hilo linahitaji.

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
 
Kati ya sentensi nilicheka ni amekamatwa mikocheni alikuwa ameenda kujificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…