Huo ndio mtihani, kama mtego/kitendawili, katika njia mpya ya kupambana na biashara ya madawa ya kulevya.
Wangapi wanakamatwa na ushahidi lakini wanakana na kushinda kesi!
Tusubiri hatima ya Kiongozi wetu. Kama anahusika, kwa kweli atakuwa ameondoa ushahidi - kama ni ule tu wa kukutwa nao mikononi.
Anaweza kujiamini kwamba kaficha mahala ambapo mtu mwingine hawezi kugundua ndani ya nyumba yake na hilo ndiyo linaweza kuwa kosa kubwa kwavile kunawatu mahodari sana kwa upekuzi.Akikutwa nazo wamembambikia.
Hakuna mtu mzembe kiasi hicho.
hata kama kweli yalikuepo deki ya maana lazima imepita
Yote maisha!Ni vizuri alivyokamatwa, wamuhoji kikamilifu na kwa kuzingatia sheria.sheria ichukue mkondo wake
Hahahahahahahaaaaaa! Chadema kwa kupindua maneno nyie! Ina maana walienda kumpekua hata kabla hajaripoti kituo cha polisi? Ina maana walipokutana naye tu njiani ndo wakamwambia haya twende nyumbani kwako tukakupekue? By the way je Mbowe anaishi Mikocheni?
Amelala selo kamada
Hivi inawezekana ukamshikilia mtu polisi halafu uende kufanya upekuzi kwake bila ya muhusika kuwepo
mkuu wapi hapo?
Anaweza kujiamini kwamba kaficha mahala ambapo mtu mwingine hawezi kugundua ndani ya nyumba yake na hilo ndiyo linaweza kuwa kosa kubwa kwavile kunawatu mahodari sana kwa upekuzi.
Jamani;
Hivi tujiulize swali kidogo tu. Hata kama ni nini au hata kama Kamanda wetu mkakamavu mwenye uwezo mkuu na resources zote za HQ Siro IQ yake ni kidogo vipi, ataenda kweli kuupoteza mda wake kuangalia vyumba vya Mbowe anakolala bila uhakika kuwa anajua anacho kifanya/kitafuta?? Never! Lazima atatoka na kitu. Mbowe jitayarishe una la kujibu. Time is out for yu
Haya unayoyasema (prejudice)
ndio yanafanya watu wasiwe na imani na Kamada Sirro na timu yake kwamba kweli Mbowe anatafutwa kwa ajili ya madawa ya kulevya
siasa bana....ni mchezo mchafu sana, hasa ambapo itahusishwa na madaraka...madaraka ni matamu saana!!! binadamu huweza kujitoa ufahamuMbowe huyu aliyeita press conference? Nilisema huwezi kucheza na Serikali, hilo ni somo, wapinzani mna wakati mgumu sana kuelewa maana ya Serikali. Mtanyooka tu, mnafikiri nchi hii ni yenu peke yenu. Tupo Watanzania lukuki ambao tupo nyuma ya uongozi imara wa JPM.
uoga umasikin...(umasikin sio lazma uwe wa pesa au mali! )Aisee kuwa mwangalifu, au hukumbuki kilichomponza Lisu.
Mkuu, wewe unadhani kuna nini nyuma ya pazia, funguka mkuu.
Alaanie mabaya hayamtoki kwake!CCM ni laana ya taifa hili