Dawa za Kulevya: Freeman Mbowe akamatwa na Polisi; ahojiwa na kuachiwa

Hujui kuwa aliachiwa au ndio nyie mnaojua habari za juzi leo

Hahaha Rafiki Zirro na Madereva wameukataa wito wa kesi ya Mbowe ndiyo na waeleza sasa jana walikuwa bwi ,leo waende maana MUOSHA huoshwa
 
Mhhhhhhhh vijana tufanye kitu kukomboa taifa tuache kulalamika .siipendi serikali ya sasa kwa sababu ipo sawa na ya kikoloni yao tawaza kutesa tuuuuu
Kama ulikua msanii msanii lazima utalalamika tu kama wewe. Lakini kama umenyooka vizuri why worry.?? Na malalamiko kama haya hayawezi kuja kamwe
 
Wewe yawezekana huna akili ama Mbowe huwa anakupa unga. Leo kalala shimoni, na kesho atalala shimoni kabla kupelekwa court.
 
NAni amekwambia alikamatwa??Angekamatwa Policcm wangemuachia huru??Sasa itikia wito nenda mahakamani unaitwa kujibu mashtaka ya kutumia NGADA aina ya MADARAKA.Hivi hujua muosha huoshwa??
 
Kwa hili la Mbowe kukaidi agizo la Polisi hakika anajimaliza mwenyewe
Napata mashaka na kusitasita kwake huyu jamaa. Tunaanza kuhisi labda ana chembechembe au link za dawa. Kwa nini aogope kutoa ushiriakiano rahisi tu
 
Napata mashaka na kusitasita kwake huyu jamaa. Tunaanza kuhisi labda ana chembechembe au link za dawa. Kwa nini aogope kutoa ushiriakiano rahisi tu
Heheheee angalia iyo hati ya ukamataji mtu anafatwa kwa madawa ya kulevya bt vinachukuliwa vitu vingine kabisa vya kichama
 
hii ndio shida ya ugonjwa wa SIZONJE unavowasumbua.. amewaambukiza ''WATOTO'' lumumba
kukurupuka kubaya sana...
ona hata kusafisha makalio umesahau
Kibab nduju balaa sana wewe.
 
Kuna jamaa moja sijui ni mwandishi ni kama Liziboni wa #Jf na wakati anajiita kamanda wa Chadema lakini haeleweki kama waganga njaa wa ccm
Tofautisha mlengo wa kisiasa wa mtu na haki za kikatiba wanazopewa raia, watu wanaweza pishana mtazamo wa serikari inavyofanya mambo ni haki yao kisiasa. Lakini watu awatakiwi kupishana kwenye haki za kikatiba zinapovunjwa hilo si swala la kudhania kipi sahihi na kupi sio ni straight forward mkataba unaelezea nchi itaendeshwa vipi na kwa sheria zipi uwezi kufanya kinyume na hapo, hizo ni civil liberty za kila mtanzania regardless anaegemea siasa zipi au anapendelea chama kipi.

Mkuu umemaliza kila kitu hili swala la vita ya madawa ya kulevya linahitaji social support sio wanachadema au wanaccm ni swala la watanzania kushirikiana na polisi kupambana na tatizo.

Na aijalishi mtu ana nafasi gani ndani ya taifa privately or in the government ranks; kama anahusika na madawa ya kulevya sheria ichukue mkondo wake.

Lakini watu tunategemea tuone kuna strong argument against their involvement au wanafanya upepelezi na kukusanya ushahidi wa kutosha kabla ya kuamua kuwaita vituo vya polisi lakini kuita watu kituo cha polisi kwa shutuma ata kama kweli wanahusika halafu awana ushahidi wowote ni mashabiki wa ajabu wa serikari ndio wanaoweza ona sawa na zoezi linaweza poteza support ya wananchi kabla alijafika mbali.

Tunaishi kwenye nchi yenye sheria na haki za kutobughuziwa pasipo kuvunja sheria lakini huu utaratibu unatisha kesho mtu unaweza itwa polisi ukaambiwa wewe ni mchochezi kwa ushahidi gani ukifika kwa kamanda Sirro ndio utaelezwa unazinguliwa ukitoka huko una kesi nyingine kabisa.

Hili sasa tena linakuwa sio swala la wananchi bali vyombo vyote vinavyosimamia sheria kuanza kuwa na wasi wasi tunaelekea wapi; aiwezekani watu wakae kimya wakati watu wanalazimishwa kwenda kuhojiwa na polisi pasipo ata chembe ya ushahidi wa makosa yao.
 
Lizaboni said:
Mkuu, ikithibitika hizi taarifa si za kweli naacha kuitetea CCM na Serikali na nitajiunga na Team Lowasa kama ulivyofanya wewe

TEHE! TEHE! TEHE! TEHE!!

CC: LIZABONI

Lizabon leo yuko chakari,nilimwambia jana akumbuke leo Boss wake ana kesi iko Mahakama kuu.Nasikia amekataa wito ngoja tusubiri kama Mahakama ina MENO au meno yalishang'olewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…