Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Mi nashangaa humu watu wanaiponda, tangu nishauriwe na Dr Kenneth wa Hindu Mandal, mwaka sasa na naona improvement kubwa sana!
Sasa mzuri ni ipi maana nimeona kuna fresh mint, cool gal.. Katika hizo Sensodyne
 
Maana mimi tatizo la meno, mfano matunda ya kitoka katika friji, siwezi kula, meno yanauma sana, mfano tikiti, tango, ndizi.. Au nikiwa katka mikoa ya baridi hayo matunda hata kama hayapo katika friji, yakipigwa na baridi naumia nikitafuna

Dawa mzuri kwangu ni ipi sasa
 
aquafresh iko pouwa sana kuna inayotoka south Africa na inayotoka kenya hawa wako njema sana
 

Tsh 3000-5000 pia zipo.
 
Daktari wangu aliniambia sensodyne ipo ya kufoji kwa wingi sokoni. Akanishauri kutumia Colgate sensitive. So far so good.

Upo lakini kamanda? Raha ya kusoma namba ni chorus kama ile ya darasa kwa kwanza kwa style ya 'shkamoooooooooooo mwaaaaaaaaaalimu'!
Usisikilize 'bush doctors' wa JF...

Sensodyne ni dawa nzuri maybe the best...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…