Dawa za meno ambazo ni nzuri kwa ulinzi wa meno

Whitedent ile ya kijani tsh1000 mwezi mzima unaisha.
 
wakati watu wanaongelea ubora wa dawa ya mswaki kwa kukinga/ kutibu memo,wengine wanaongelea unafuu wa bei yaani Buku tuu.
 
Upo lakini kamanda? Raha ya kusoma namba ni chorus kama ile ya darasa kwa kwanza kwa style ya 'shkamoooooooooooo mwaaaaaaaaaalimu'!

Hey King'asti nipo best, habari za masiku tele...nilidhani umetoweka kipande ya JF
 
Mm natumia sensodyne meno yangu yameacha kuuma na hayatoboki tena pia wakati mwingine huwa nasukutulia mafuta ya karafuu pia husaidia kulinda meno na kuimarisha fizi NB: pia zingatia kupiga mswaki angalau Mara mbili kwa Siku tena wakati wa usiku ni muhimu zaidi kabla hujakwenda kulala piga mswaki zingatia hiyo ratiba ifanye sehemu ya maisha yako then utaleta mrejesho hapa
 
hydrogen peroxide 3% nimeshatumia chupa mbili lakini meno hayawi meupe
 
Ukienda Super Market Hata Kitu Cha Buku Watakwambia Bku Ten Ubora Huwez Kutofautisha I Will Try Sensoday
 
Tumia madeoral hutajutia
 
Lol. Umenikumbusha mbali.

Nilikuwaga sipendi kabisa Colgate. Lakini uja uzito wangu wa kwanza ulinifanya nianze kuipenda na mpaka leo ndiyo ninayotumia.

Sio herbal. Ile ya kawaida nyeupe.
 
Huku kwetu bila whitedent ya kijani yenye mswaki, hutakaa uone wanunuzi wa dawa ya meno dukani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…