DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

Wakubwa natafuta kununua maji kinondoni lita 5,000. Naomba mniunganishe na magari.. wananiquote mpaka lita 5,000 kwa 250,000 kitu ambacho sitaki kabisa kununua maji kwa bei hio

Naombeni namba za wauza maji
 
Hivi nyinyi mnafanya kazi gani?dawasa ni watumishi hewa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ndugu wana JamiiForums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.

Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.

Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)

DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866

Maoni yangu:
1: Jenga reservoir za kutosha maeneo ya pwani, reservoir ziwe kubwa sana kama ekari 1000 kila moja. Yasipunguwe matano shida ya maji itakuwa imeisha kabisa. Baada ya hapo imarisha network ya maji jijini Dar.
2. Mto pangani maji yake yote yanaishia baharini kuwe na reservoir kubwa Kama ekari 10,000 liwe Kama ziwa yakijaq ndo yaende baharini ukanda wa pwani mutakuwa mumeondokana na tatizo la ukame, hiyo reservoir inaweza tumika kwenye irrigation pia.
3. Tatizo wengi ni engineer njaa ubunifu zero kabisa ni vyeti tu hayo makaratasi lakini kutafuta solution hakuna kabisa.
dawasa wangejenga water reservoir Kama hili hili maji yasiishiye yote baharini. lingejengwa pwani mto ruvu unakotokea.

Attachments

  • VID-20221114-WA0028.mp4
    3.9 MB
Naamini kuna tafiti zinazofanywa na wataalamu mbalimbali ndani na nje ya idara juu ya vyanzo vya maji, upatikanaji wake, kiasi na kiwango cha huduma husika kulingana na idadi ya watumiaji wa maji hayo n.k utafiti huu uwe unawekwa wazi ili wateja waweze kujiandaa endapo litatokea tatizo la uhaba wa maji kama ilivyo sasa maeneo mbalimbali ya Dar es salaam.

Elimu maalumu ya utunzaji na uthamani wa vyanzo vya maji itolewe kwa wakazi wanaoishi karibu ama kuzunguka vyanzo vya maji maana hakuna binadamu asiyejua umuhimu wa maji.
Kuna kipindi zilikuwepo kampeni nyinginyingi zilizohamasisha utunzaji wa mazingira haswa kwenye vyanzo vya maji nadhani turejee mazuri yatakayotusaidia kuondokana na adha hii.
 
DAWASA nini mbaya na ninyi. Maji siku hizi yanatoka Mara moja kwa wiki mbili, msoma mita anasema tumetumia unit kumi yaani lita elfu kumi.
DAWASA up your game.
 
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)

Narudia kuwajulisha tena(maana wiki jana niliwajulisha kwa njia ya simu Dawasa Temeke)kuwa kuna upotevu wa maji ,kwa maana kuna Bomba limepasuka/ limekatwa huku Tandika Azimio Kusini, mtaa wa Umangani wilayani Temeke mbele ya nyumba namba 12.
Ni wiki sasa na taarifa tulishatoa,Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa ukizingatia pia sasa hivi sehemu nyingi za jiji zinapitia changamoto ya uhaba wa maji.
Mjenga nchi ni mwananchi na mbomoa nchi ni mwananchi.
 
Wakilifanyia kazi hilo niite mimi mbwa nimekaa pale, huku kuna mabomba yanapasuka kila siku maji yanamwagika wanapita kukagua mita tu hayo ya kupasuka mabomba wao hawayahusu
 
Wakilifanyia kazi hilo niite mimi mbwa nimekaa pale, huku kuna mabomba yanapasuka kila siku maji yanamwagika wanapita kukagua mita tu hayo ya kupasuka mabomba wao hawayahusu
😧😧😧 duuu ngichoka kabisa
 
😧😧😧 duuu ngichoka kabisa
Ndio hivyo mkuu hayo ya kupasuka mabomba ni ya mmiliki wa mita ndio anaetakiwa kufanya maboresho ila km ni bomba kubwa linalosambaza maji limepasuka ndio wanahusika lakini hivi vimipira vidogo vidogo vinavyobust kwa sababu ya pressure kubwa ya maji haviwahusu,
 
Sasa kama yamepasuka yakiwa hayafika kunako mita si yanapotea bure?ndo kusema huwa wanafidia hasara hiyo kwa kutuongezea units kwenye bill zetu ?!
 
Sasa kama yamepasuka yakiwa hayafika kunako mita si yanapotea bure?ndo kusema huwa wanafidia hasara hiyo kwa kutuongezea units kwenye bill zetu ?!
Yaan bomba ukifungiwa likipatwa na mushkheri ni wewe ndio unatakiwa kurekebisha kwa pesa zako, ukishindwa wanakuja kufunga na mita wanang'oa uende ofisini ukalipe fine
 
Dawasa huwa wanapitia maoni na ushauri wae wateja wao au wameiga taasisi zingine zenye kurasa za maoni.Kama hawapitia na kutoa ufafanuzi kwa wateja wao kuna faida gani

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hawasomagi.
Kuna siku niliandika Kuna bomba la inchi kumi limepasuka na maji yanamwagika barabarani. Baada ya siku tatu nikaaandika Kuna watu wanne wamejiunganishia maji kiholela. Ndani ya masaa mawili Hawa hapa.
 
DAWASA kuna bomba limepasuka huku wilaya ya ubungo, kata ya makuburi, maeneo ya shule ya Betheri kwa mbele huku watoto wanayachezea maji tu maji yanapotea nyinyi mmekaa tu maofisini mnakula viyoyozi ndio nini hivyo? Njooni huku muangalie mabomba yamepasuka maji yanapotea inauma sana yaan nyinyi kazi yenu ni ipi Mimi sielewi unajua
 
Nasikitika sana pale nionapo maji hasa yamapomwagika mabarabarani hovyo inaumiza sana mbaya zaidi utakuta wananchi wa eneo husika kuyaona yakimwagika na kutochukua hatua zozote (Segerea), Naomba ikiwezekana mkae na wenyeviti wa serekali za mitaa aidha muwape maelekezo ya kwamba moja ya kazi zao na kamati zao za maji ni kutoa taarifa za matukio ya maji kumwagika hovyo mitaani, hasara ni kubwa mno, na kutotoa kwao taarifa kuhusiana na uvujaji wa maji iwe wamakwenda kinyume na kazi zao.
INAUMIZA SANA,
WASALAAM.
 
Huu mgawo wa kimyakimya Ilala dare salaam unatuchosha Sana.

Kwanza wanaosimamia ufunguaji wa maji wanapendelea au hawajaki baadhi ya maeneo.

Kinyerezi salanga kuna mgawa wa kipuuzi Sana.
 
Back
Top Bottom