Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Inabidi watengeneze mita kama za Tanesco. Unalipia ndio unatumia. Full stopDawasa inaharibigwa na wasoma mita.
wasoma mita ndio wanao wakosesha mapato ya Serikali...
aiseelita 5,000 kwa 250,000
Maoni yangu:Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
DAWASCO HUDUMA KWA WATEJA 0800110064
DAWASCO ILALA 0743 451879
DAWASCO KAWE 0743 451861
DAWASCO KIBAHA 0743 451875
DAWASCO KIMARA 0743 451865
DAWASCO KINONDONI 0743 451863
DAWASCO BAGAMOYO 0743 451877
DAWASCO MAGOMENI 0743 451862
DAWASCO TEGETA 0743 451881
DAWASCO TABATA 0743 451867
DAWASCO TEMEKE 0743 451866
Kwahilo haliwezekani,,Ili wafanikishe udhalimu wao.Inabidi watengeneze mita kama za Tanesco. Unalipia ndio unatumia. Full stop
Narudia kuwajulisha tena(maana wiki jana niliwajulisha kwa njia ya simu Dawasa Temeke)kuwa kuna upotevu wa maji ,kwa maana kuna Bomba limepasuka/ limekatwa huku Tandika Azimio Kusini, mtaa wa Umangani wilayani Temeke mbele ya nyumba namba 12.Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
Wakilifanyia kazi hilo niite mimi mbwa nimekaa pale, huku kuna mabomba yanapasuka kila siku maji yanamwagika wanapita kukagua mita tu hayo ya kupasuka mabomba wao hawayahusuNarudia kuwajulisha tena(maana wiki jana niliwajulisha kwa njia ya simu Dawasa Temeke)kuwa kuna upotevu wa maji ,kwa maana kuna Bomba limepasuka/ limekatwa huku Tandika Azimio Kusini, mtaa wa Umangani wilayani Temeke mbele ya nyumba namba 12.
Ni wiki sasa na taarifa tulishatoa,Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa ukizingatia pia sasa hivi sehemu nyingi za jiji zinapitia changamoto ya uhaba wa maji.
Mjenga nchi ni mwananchi na mbomoa nchi ni mwananchi.
π§π§π§ duuu ngichoka kabisaWakilifanyia kazi hilo niite mimi mbwa nimekaa pale, huku kuna mabomba yanapasuka kila siku maji yanamwagika wanapita kukagua mita tu hayo ya kupasuka mabomba wao hawayahusu
Ndio hivyo mkuu hayo ya kupasuka mabomba ni ya mmiliki wa mita ndio anaetakiwa kufanya maboresho ila km ni bomba kubwa linalosambaza maji limepasuka ndio wanahusika lakini hivi vimipira vidogo vidogo vinavyobust kwa sababu ya pressure kubwa ya maji haviwahusu,π§π§π§ duuu ngichoka kabisa
Sasa kama yamepasuka yakiwa hayafika kunako mita si yanapotea bure?ndo kusema huwa wanafidia hasara hiyo kwa kutuongezea units kwenye bill zetu ?!Ndio hivyo mkuu hayo ya kupasuka mabomba ni ya mmiliki wa mita ndio anaetakiwa kufanya maboresho ila km ni bomba kubwa linalosambaza maji limepasuka ndio wanahusika lakini hivi vimipira vidogo vidogo vinavyobust kwa sababu ya pressure kubwa ya maji haviwahusu,
Yaan bomba ukifungiwa likipatwa na mushkheri ni wewe ndio unatakiwa kurekebisha kwa pesa zako, ukishindwa wanakuja kufunga na mita wanang'oa uende ofisini ukalipe fineSasa kama yamepasuka yakiwa hayafika kunako mita si yanapotea bure?ndo kusema huwa wanafidia hasara hiyo kwa kutuongezea units kwenye bill zetu ?!
Hawasomagi.Dawasa huwa wanapitia maoni na ushauri wae wateja wao au wameiga taasisi zingine zenye kurasa za maoni.Kama hawapitia na kutoa ufafanuzi kwa wateja wao kuna faida gani
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app