mkudugwa
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 226
- 221
Hizo namba zenu hampokei,Nina tatizo toka wiki iliyopita nimeripoti pale kinondoni naambiwa nenda mafundi wanakuja hawaji na napewa namba za mafundi ambazo hazipatikani mna matatizo Sana. Tatizo langu baada ya kufunga meter zenu mypya bili imekuja kubwa Mara Tatu nilivyokuwa nalipa kuchunguza Kuna Bomba mafundi hawakufunga vizuri linamwaga maji nimeripoti wala hamji muone tatizo badlands yake naambulia msg za vitisho za kukatiwa maji.Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi.
Ndugu wana jukwaa, DAWASCO inajipambanua kwa kusimamia maadili ,kutoa huduma iliyotukuka pamoja na kuhakikisha huduma ya Maji inapatikana kwa kila mwananchi.
Kama kutatokea kuharibika kwa bomba, wizi wa Maji, umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: DAWASCO - Welcome to new site
2. Kupitia mitandao yetu ya kijamii ikiwa ni pamoja na Twitter|DawascoOfficial..Facebook|DawascoOfficial ...Instagram|DawascoOfficial
3. Kwa mwananchiposta ; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu
DAWASCO
P. O. Box 5340
Sokoine Drive
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu huduma kwa wateja dawasco
0800110064 /022 2164800 ( Kupiga namba hizi ni Bure)
Sent using Jamii Forums mobile app