Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙆🙆🙆View attachment 2398467
Alieturoga sisi alikufa kumanina , hivi hawa wanafikiria kwa kutumia kichwa kweli ?
Naona Dawasa wanazidi kuchanganyikiwa...na bado...wacha inyeshe tujue panapovuja...View attachment 2398467
Alieturoga sisi alikufa kumanina , hivi hawa wanafikiria kwa kutumia kichwa kweli ?
Wakati wenu wa kutamba sasa, Mbezi Beach vitipa vya maji vinapishana sana.Sisi tunaoishi maeneo ya chamazi hatuna habari ya kuishiwa maji huku kwetu ni 24/7 maji yanamwagika Tu kila nyumba ina maji Safi ya visima virefu na wala hatutaki tena UJINGA wa dawasco
Omba Kibali Ili ufanye hiyo biashara sio ku take advantage ya kutokuwepo kwa maji na kufanya biashara..View attachment 2398467
Alieturoga sisi alikufa kumanina , hivi hawa wanafikiria kwa kutumia kichwa kweli ?
Wewe ni juha. Hii sheria kama haiiyiliwi mkazo na ***Sheria za mwendakuzimu hizi. Inabidi bunge lifanye kazi ya ziada kuondoa hizi sheria zilizowekwa na awamu ya 5. Zilikuwa sheria za hovyo za kidikteta. DAWASA hawana makosa... wabunge waliotunga hiyo sheria na Rais aliyeisaini ndo wakulaumiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2398467
Alieturoga sisi alikufa kumanina , hivi hawa wanafikiria kwa kutumia kichwa kweli ?
Wakati wenu wa kutamba sasa, mbezi Beach vitipa vya maji vinapishana sana,
Kuna mama mmoja amemwaga chozi anavyoshuhudia garden yake ya maua na majani inavyonyauka na kuteketea,
Tunaoishi maeneo haya tunaonekana ni wanyonge lkn kwenye ishu za umuhimu kama maji tunageuka washuwaWakati wenu wa kutamba sasa, mbezi Beach vitipa vya maji vinapishana sana,
Kuna mama mmoja amemwaga chozi anavyoshuhudia garden yake ya maua na majani inavyonyauka na kuteketea,
Hawa watu muda mwingine unajiuliza wao wamesomea wapi...ukweli DSM inaonekana haina shida kubwa ya maji kwa sababu ya hao wenye visima lakini wao hawajui pambavu zao.Wasambazaji binafsi maji hayakatiki hata siku moja na bill zao rafiki kwa watumiaji
Katika mashirika mabovu nchi hii ni Tanesco, TTCL na Hizo mamlaka za maji
Soko lipo ila ukiritimba na kuvuta miguu
Mfano TTCL ilikuwa ndio kampuni.pekee ya Simu
Mimi niliomba kufungiwa nilikaa Miaka mitatu bila kufungiwa zilizokuja simu za mkononi nilienda personally kwenda ku cancel ombi kuwa mizimu yao ya midway sitaki tena
Dawasa jiji lote soko lilikuwa lao lakini kufungiwa shida na mirushwa kibao ubabaishaji mwingi
Mimi bomba la Dawasa linapita mlangoni kwangu lakini niligoma kuunga natumia private supplier toka afunge maji hayajawahi kukatika
Mkuu cheki inbox yakoTunaoishi maeneo haya tunaonekana ni wanyonge lkn kwenye ishu za umuhimu kama maji tunageuka washuwa
Maji ya Dawasa sio salama kwanza yananuka dawa yaani hata ile ladha ya maji imepotea.Kuna mambo hutia hasira mno.
Huyu ni mtu mzima na ana familia.Ameamka akaenda ofisini akaandika hivyo.
Tuwasamehe tuendelee na yanayowezekana.
Kuna sehemu huku Dar tunakinga tope maji yakirudi.
Sasa sijui usalama wa Dawasa kwa hilo tope upo wapi.
Na wananajua hilo ni week sasa maji yakirudi yananuka na yanatope.
naanza na KUView attachment 2398467
Alieturoga sisi alikufa kumanina , hivi hawa wanafikiria kwa kutumia kichwa kweli ?
Maeneo Ya Chamanzi, mbande Msongola na maeneo mengi ya huko wanategemea maji ya visima binafsi, na hao DASCO hata hawakujui.95% ya wakazi wa Kariakoo wanatumia maji ya visima
Maji ya dawasa hayakidhi hata 5%