DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

DOKEZO DAWASA yatoa notisi ya kusitisha usambazaji wa maji ya Visima kwa baadhi ya Maeneo ya Jiji la Dar es salaam

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
DFE898BB-864D-4A63-BC3C-2D3174774E32.jpeg

Alieturoga sisi alikufa kumanina, hivi hawa wanafikiria kwa kutumia kichwa kweli ?
 
Kama kawaida, makosa yanaendelea baada ya kuajiri mijitu mijinga na kuijaza kwenye mifumo na kuipa mamlaka ya kuendesha na kusimamia maisha ya mamilioni ya watanzania.
 
Sisi tunaoishi maeneo ya chamazi hatuna habari ya kuishiwa maji huku kwetu ni 24/7 maji yanamwagika Tu kila nyumba ina maji Safi ya visima virefu na wala hatutaki tena UJINGA wa dawasco
Wakati wenu wa kutamba sasa, Mbezi Beach vitipa vya maji vinapishana sana.

Kuna mama mmoja amemwaga chozi anavyoshuhudia garden yake ya maua na majani inavyonyauka na kuteketea.
 
Sheria za mwendakuzimu hizi. Inabidi bunge lifanye kazi ya ziada kuondoa hizi sheria zilizowekwa na awamu ya 5. Zilikuwa sheria za hovyo za kidikteta. DAWASA hawana makosa... wabunge waliotunga hiyo sheria na Rais aliyeisaini ndo wakulaumiwa.
Wewe ni juha. Hii sheria kama haiiyiliwi mkazo na ***

Au basi
 
Wakati wenu wa kutamba sasa, mbezi Beach vitipa vya maji vinapishana sana,

Kuna mama mmoja amemwaga chozi anavyoshuhudia garden yake ya maua na majani inavyonyauka na kuteketea,
Tunaoishi maeneo haya tunaonekana ni wanyonge lkn kwenye ishu za umuhimu kama maji tunageuka washuwa
 
Wasambazaji binafsi maji hayakatiki hata siku moja na bill zao rafiki kwa watumiaji

Katika mashirika mabovu nchi hii ni Tanesco, TTCL na Hizo mamlaka za maji

Soko lipo ila ukiritimba na kuvuta miguu

Mfano TTCL ilikuwa ndio kampuni.pekee ya Simu

Mimi niliomba kufungiwa nilikaa Miaka mitatu bila kufungiwa zilizokuja simu za mkononi nilienda personally kwenda ku cancel ombi kuwa mizimu yao ya midway sitaki tena

Dawasa jiji lote soko lilikuwa lao lakini kufungiwa shida na mirushwa kibao ubabaishaji mwingi

Mimi bomba la Dawasa linapita mlangoni kwangu lakini niligoma kuunga natumia private supplier toka afunge maji hayajawahi kukatika
Hawa watu muda mwingine unajiuliza wao wamesomea wapi...ukweli DSM inaonekana haina shida kubwa ya maji kwa sababu ya hao wenye visima lakini wao hawajui pambavu zao.
 
Kuna mambo hutia hasira mno.
Huyu ni mtu mzima na ana familia.Ameamka akaenda ofisini akaandika hivyo.
Tuwasamehe tuendelee na yanayowezekana.
Kuna sehemu huku Dar tunakinga tope maji yakirudi.
Sasa sijui usalama wa Dawasa kwa hilo tope upo wapi.
Na wananajua hilo ni week sasa maji yakirudi yananuka na yanatope.
 
Kuna mambo hutia hasira mno.
Huyu ni mtu mzima na ana familia.Ameamka akaenda ofisini akaandika hivyo.
Tuwasamehe tuendelee na yanayowezekana.
Kuna sehemu huku Dar tunakinga tope maji yakirudi.
Sasa sijui usalama wa Dawasa kwa hilo tope upo wapi.
Na wananajua hilo ni week sasa maji yakirudi yananuka na yanatope.
Maji ya Dawasa sio salama kwanza yananuka dawa yaani hata ile ladha ya maji imepotea.
 
View attachment 2398467
Alieturoga sisi alikufa kumanina , hivi hawa wanafikiria kwa kutumia kichwa kweli ?
naanza na KU

hawa jamaa ni wangese sana, wanyonge ndiyo wanataabika na kuzidi kupigwa pini kwa visheria uchwara , huku wao wakiwa na visima virefu majumbani mwao na matenki makubwa makubwa

namalizia na MA
 
wanataka kina MO na wauza maji wengine ya chupa wawe mabilionea kabisa imagine maji ya kuoga hakuna na huruhusiwi kununua ya kisima kwa kajamaa kalichoyachimba kakapata ya chumvi, hatari sana haya mambo ya kupangiana maisha sijui yataisha lini , Dar kuna watu wana survive kwa hayo maji ya visima asilimia kubwa sana tena hao dawasa wala hawana mpango kabisaaaaa wa kupeleka maji katika maeneo hayo, SHAME,. uwezo hawana maji hamna ila wananchi wakijiongeza hawataki nchi ya ajabu sana hiyo.
 
95% ya wakazi wa Kariakoo wanatumia maji ya visima
Maji ya dawasa hayakidhi hata 5%
Maeneo Ya Chamanzi, mbande Msongola na maeneo mengi ya huko wanategemea maji ya visima binafsi, na hao DASCO hata hawakujui.

DAWASCO huduma imewashinda siyo wamekosa wateja, serikali kama kweli ina nia, ya kuboresha maisha ya wananchi, basi muda wa kupiga marufuku wasambazaji binafsi bado sana.
Nilienda Manzese maeneo ya Darajani, nikakuta watu, wanatoa maji Rombo Sun flower, nikajiuliza hawa nao wako Dar.
 
Back
Top Bottom