wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Viongozi Wa Serikali Wapo Tena Ofisini
Ukiwa kuta ofisini chapa viboko wote wanao leta hii shida ya maji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi Wa Serikali Wapo Tena Ofisini
Uko ushuani wee lol, ngoja na mie nipambane niishi huko.Huku madongo poromoka mdogo wangu
Hata si ushuani mdogo wangu..uswazi vibaya mno..Ni vile tu tulijiongeza kuchimba visima vya kata ..maji hayakatiki hata iwejeUko ushuani wee lol, ngoja na mie nipambane niishi huko.
Ooooh kumbe sawaahHata si ushuani mdogo wangu..uswazi vibaya mno..Ni vile tu tulijiongeza kuchimba visima vya kata ..maji hayakatiki hata iweje
YeahOoooh kumbe sawaah
Miss u ccYeah
Miss you more...kwema lakini?Miss u cc
Nawe una matatizo kama Baba LevoSerikali katili ya CCM imeona muoge maji chumvi mtoe mkosi.
Sehemu kubwa ya DSM hakuna majiHabari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa Dawasco Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa.
Kuna Ndugu yangu anaishi hapa Nyuma ya Ukuta Wa Dawasco Kimara, anasema yaani Mtaa Mzima hakuna mwenye akiba ya Maji ndani. Watu wameshindwa kufua wikend hii kisa hakuna maji.
Kama huu ni uzembe wa Mtu fulani nashauri Waziri wa Maji amtumbue mapema Ili wezembe wengine wajifunze pia. Hali zipoje maeneo mengine Dar leo kuhusu maji
Wewe usimzoee huyo cocastic ni mende huyoMiss you more...kwema lakini?
Haya.Nawe una matatizo kama Baba Levo
Huyo cocastic huitana na msagaji maarufu wa JF baby!!! Chunga sanaHahahahaha Mimi panya ujue
Nenda twitterTunaomba namba yake plz
Tulieni nyie si ndiyo mlipigia upinzani kura kisa mmevunjiwa nyumba zenu. Tulieni hivyo hivyo dawa iwaingieHabari wanabodi, kama Kuna mtu anamfaham Meneja wa Dawasco Kimara, tafadhali amjulishe kuwa afungue maji mchana huu kwani Hali huku mtaani ni Mbaya Sana. Siku ya 4 leo inaenda maji hakuna, na hata watu wanaouza toka kwenye matanki yao wameishiwa maji, hivyo, Hali sio ya mchezo kabisa.
Kuna Ndugu yangu anaishi hapa Nyuma ya Ukuta Wa Dawasco Kimara, anasema yaani Mtaa Mzima hakuna mwenye akiba ya Maji ndani. Watu wameshindwa kufua wikend hii kisa hakuna maji.
Kama huu ni uzembe wa Mtu fulani nashauri Waziri wa Maji amtumbue mapema Ili wezembe wengine wajifunze pia. Hali zipoje maeneo mengine Dar leo kuhusu maji