Potelea pote! Nitatubu nikiona kifo kinanijia kwa kasi.Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani
Subiri nilewe kuna kitu nikuambie🤣
Daaaaah aiseee mambo yangu haya....
Vinywaji vyote umekunywa mwenyewe?
Sikuamini 🤪
Mdogo wangu huyo mshangazi akikunyanyasa niambieDaaaaah aiseee mambo yangu haya....
Ndiyo kipi hicho...Kikundi chetu hakipo hapo😀
Nitakujuza badaeNdiyo kipi hicho...
1. Stefano DiMera — Ma-Don wa ID Feki (Wafuasi wa "Nitarudi na ID nyingine")Hawa ndio wale miamba ambao hata uwawekee mtego gani wa BAN (kufungiwa), hawafi! Mod akipiga ban hii, kesho asubuhi wanazaliwa upya na ID nyingine na fujo zinaendelea kama kawaida. Wana "nyumba ndogo" za ID kuanzia kumi na kuendelea!😂💀
Baabae sipo...Nitakujuza badae
Nitakufata kwenuBaabae sipo...
Uje kuanzia saa tano usiku nakuendelea nitakua nisharudi...Nitakufata kwenu
Mbona kama kawaka huyu aisee