Days of our lives JF: Wewe ni nani hapa? Jikague

Hii ni fact mkuu! Binafsi nimebahatika kufika Johannesburg, kwa siku kadhaa. Mjomba wangu alifia kule, hivyo tukalazimika twende tukachukue maiti.
Nimekaa nitaa ya Midland.
Hongera sana mkuu, ukiwa kama kijana mpenda kutembea na kujifunza basi Sauzi kunabaki na experience ya kipekee sana. Johannesburg; The city of gold.
Bro nilifika Hill brow.. Hapo ndipo ilipo Egoli.. Ila Hill brow panatisha kwa ujambazi
 
Mimi nimeshuhudia mtu anaenda ATM anatoka anakimbia. 😁
Tukaelezwa kwamba mitaa ile roho mkononi, unaemkuta ATM ndani, anakuogopa wewe wa nje, na wa nje unamuogopa alieko ndani. 😊
Ukifika ATM, unacheki huku na huko ndo unazama, na hapo chap unatakiwa utoke na upotee mitaa ile.
Bongo mnakutana na mtu ATM, mnapiga na stori. 😊
 
Hill brow mtu alipigwa chuma mbele yangu kisa sigara🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Nikilewa naanza kutoa siri za watu ankal.
Halafu nakua mtata nanunua ugomvi 😹😹😹
Nitakulinda ankal.. Wape show Moja ya kibabe sana
Gretchen Crilly McKay on Instagram_ “#ancestralwisdom #ancestralhealing #shamanichealing #afr...jpeg
1778953757290.jpg
 
Fegi! 😁
Sauzi noma sana, hawana hukumu ya kifo, watu wanacheza na visu kule hatari, mikwaju nje nje. 😁
Jamaa anauza fegi kwenye kimeza, mwana akaja akaomba sigara, mshkaji akamtolea moja akampa, mwana akataka pakti nzima, mshkaji alipomgomea akala shaba kisha mwana akachukua pakti ya fegi na kutokomea gizani🙌🏿😭
 
Sauzi ni Sauzi tuu mzee! 😁
 
Back
Top Bottom