Days of our lives JF: Wewe ni nani hapa? Jikague

Days of our lives JF: Wewe ni nani hapa? Jikague

Tajiri umenikumbusha mbali sana na hizi tamthilia. Umenikumbusha pia;
"Acapulco",
"The bold and The beautiful"
"Isidingo; The need"

Ndani ya mada; Kila mtu yupo vile yupo. 😁
 
Tajiri umenikumbusha mbali sana na hizi tamthilia. Umenikumbusha pia;
"Acapulco",
"The bold and The beautiful"
"Isidingo; The need"

Ndani ya mada; Kila mtu yupo vile yupo. 😁
Egoli: A place made of gold
Hii ni ya South Africa.. Na wali shoot kwenye hiyo hotel inaitwa Egoli.. Nililala hapo wayback 1998
Behind the story kwanini caption inasema A PLACE MADE OF GOLD ni kwamba Joburg na ukame wake wote lakini imeheshimishwa na dhahabu inayopatikana hapo.. Maji safi wanavuta toka river Limpopo Zimbabwe
Sisi madini yetu..😭😭😭
 
Umetusahahu chawa wa mama 😏
😀
b4ad7150-be9f-4846-a623-29a6a1c832c1.jpeg
4ab35955-3149-477e-902b-bae29651ca36.jpeg
 
😹😹😹😹
Nimecheka sana aiseee..!!
Hii id nilifungua ili kuomba id nyingine itolewe ban na kaka Max analijua hilo..!!

Na ndiomana sijifichi bana sis.
Nilikuuliza hukujibu ukaishia kunicheka ankal😂
 
Stefano DiMera — Ma-Don wa ID Feki (Wafuasi wa "Nitarudi na ID nyingine")Hawa ndio wale miamba ambao hata uwawekee mtego gani wa BAN (kufungiwa), hawafi! Mod akipiga ban hii, kesho asubuhi wanazaliwa upya na ID nyingine na fujo zinaendelea kama kawaida. Wana "nyumba ndogo" za ID kuanzia kumi na kuendelea!😂💀
 
Egoli: A place made of gold
Hii ni ya South Africa.. Na wali shoot kwenye hiyo hotel inaitwa Egoli.. Nililala hapo wayback 1998
Behind the story kwanini caption inasema A PLACE MADE OF GOLD ni kwamba Joburg na ukame wake wote lakini imeheshimishwa na dhahabu inayopatikana hapo.. Maji safi wanavuta toka river Limpopo Zimbabwe
Sisi madini yetu..😭😭😭

Hii ni fact mkuu! Binafsi nimebahatika kufika Johannesburg, kwa siku kadhaa. Mjomba wangu alifia kule, hivyo tukalazimika twende tukachukue maiti.
Nimekaa nitaa ya Midland.
Hongera sana mkuu, ukiwa kama kijana mpenda kutembea na kujifunza basi Sauzi kunabaki na experience ya kipekee sana. Johannesburg; The city of gold.
 
Back
Top Bottom