Potelea pote! Nitatubu nikiona kifo kinanijia kwa kasi.Njia ile ni nyembamba iendayo uzimani
Subiri nilewe kuna kitu nikuambieπ€£ππΏππΏππΏππΏView attachment 3589978
Daaaaah aiseee mambo yangu haya....
Vinywaji vyote umekunywa mwenyewe?Mimi tayariπ€£View attachment 3590097View attachment 3590098
Sikuamini π€ͺMimi tayariπ€£View attachment 3590097View attachment 3590098
Mdogo wangu huyo mshangazi akikunyanyasa niambieDaaaaah aiseee mambo yangu haya....
Ndiyo kipi hicho...Kikundi chetu hakipo hapoπ
Nitakujuza badaeNdiyo kipi hicho...
1. Stefano DiMera β Ma-Don wa ID Feki (Wafuasi wa "Nitarudi na ID nyingine")Hawa ndio wale miamba ambao hata uwawekee mtego gani wa BAN (kufungiwa), hawafi! Mod akipiga ban hii, kesho asubuhi wanazaliwa upya na ID nyingine na fujo zinaendelea kama kawaida. Wana "nyumba ndogo" za ID kuanzia kumi na kuendelea!ππ
Baabae sipo...Nitakujuza badae
Nitakufata kwenuBaabae sipo...
Uje kuanzia saa tano usiku nakuendelea nitakua nisharudi...Nitakufata kwenu
Mbona kama kawaka huyu aisee