Nikukute mlangoni πUje kuanzia saa tano usiku nakuendela nitakua nisharudi...
Kwa nini mlangoni wakati wewe ni mwenyeji, pita moja kwa moja...Nikukute mlangoni π
Inawezekanaje? Soda 2, maji 2Jeshi LA mutu moya kasoro chenye kimeaπ
Egoli: A place made of goldTajiri umenikumbusha mbali sana na hizi tamthilia. Umenikumbusha pia;
"Acapulco",
"The bold and The beautiful"
"Isidingo; The need"
Ndani ya mada; Kila mtu yupo vile yupo. π
Stefano DiMera β Ma-Don wa ID Feki (Wafuasi wa "Nitarudi na ID nyingine")Hawa ndio wale miamba ambao hata uwawekee mtego gani wa BAN (kufungiwa), hawafi! Mod akipiga ban hii, kesho asubuhi wanazaliwa upya na ID nyingine na fujo zinaendelea kama kawaida. Wana "nyumba ndogo" za ID kuanzia kumi na kuendelea!ππ
We mdogo wangu nakujua vizuri mtukutu mmojaπππΉπΉπΉπΉ
Nimecheka sana aiseee..!!
Hii id nilifungua ili kuomba id nyingine itolewe ban na kaka Max analijua hilo..!!
Na ndiomana sijifichi bana sis.
Ankal πΉNilikuuliza hukujibu ukaishia kunicheka ankalπ
πΉπΉπΉ Sasa unakuwaje na mdogo kazubaa JF?We mdogo wangu nakujua vizuri mtukutu mmojaππ
Egoli: A place made of gold
Hii ni ya South Africa.. Na wali shoot kwenye hiyo hotel inaitwa Egoli.. Nililala hapo wayback 1998
Behind the story kwanini caption inasema A PLACE MADE OF GOLD ni kwamba Joburg na ukame wake wote lakini imeheshimishwa na dhahabu inayopatikana hapo.. Maji safi wanavuta toka river Limpopo Zimbabwe
Sisi madini yetu..πππ