Days of our lives JF: Wewe ni nani hapa? Jikague

Bro nilifika Hill brow.. Hapo ndipo ilipo Egoli.. Ila Hill brow panatisha kwa ujambazi
 
Mimi nimeshuhudia mtu anaenda ATM anatoka anakimbia. 😁
Tukaelezwa kwamba mitaa ile roho mkononi, unaemkuta ATM ndani, anakuogopa wewe wa nje, na wa nje unamuogopa alieko ndani. 😊
Ukifika ATM, unacheki huku na huko ndo unazama, na hapo chap unatakiwa utoke na upotee mitaa ile.
Bongo mnakutana na mtu ATM, mnapiga na stori. 😊
 
Hill brow mtu alipigwa chuma mbele yangu kisa sigaraπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Fegi! 😁
Sauzi noma sana, hawana hukumu ya kifo, watu wanacheza na visu kule hatari, mikwaju nje nje. 😁
 
Jamaa anauza fegi kwenye kimeza, mwana akaja akaomba sigara, mshkaji akamtolea moja akampa, mwana akataka pakti nzima, mshkaji alipomgomea akala shaba kisha mwana akachukua pakti ya fegi na kutokomea gizaniπŸ™ŒπŸΏπŸ˜­
 
Sauzi ni Sauzi tuu mzee! 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…