DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mule ndani ya "elimu dunia" Feroor ameimba . Anavyolalamika ni kama yeye ni mfungwa kweli yuko ndani anajuta. Kipaji kikubwa sana.Wakumbukwe na nani mkuu?
Jamaa uwa nikisikiliza ngoma zake kama elimu dunia, nipe tano yani siamini kama ndiye huyu ambaye sasa hivi hata haeleweki.
Maisha usipoyapanga yanakupanga.
Kwema aisee?Inasikitisha Sana! Kijana Mteja Kijana Mteja ameshadata!! Masela walimwambia.
Kwema aisee?
Saaana...Madawa ya kulevya na pombe kali ni janga
Nipo best,Kwema Kwema BM....Long Tym.
Pombe Mkuu hizoUnajuaje kama ni pombe ndiyo inamlostisha, vijana wengi haswa hawa wasanii wa bongo fleva wengi wao ni mateja tu
Maisha ni kuchagua.. kiukweli tunaweza laumu serikali kwa kutokuwa namfumo mzuri wa kusimamia kazi zawasanii.. lakini kwa mambo mengine ni uzembe binafsi starehe tufanye lakini kwa akiliTwo weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.
Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.
Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.
Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.