Daz Baba siku hizi anakunywa Sana Pombe, kaisha kweli

Daz Baba siku hizi anakunywa Sana Pombe, kaisha kweli

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.

Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.

Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.

Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.

1653377878249.png
 
Acha wapotee tu,nobody aliwashikia mitutu kuwalazimisha kutumia hayo maunga.
 
Unajuaje kama ni pombe ndiyo inamlostisha, vijana wengi haswa hawa wasanii wa bongo fleva wengi wao ni mateja tu
 
Elimu dunia,daz mwalimu:Heshima kwake: Jurgen klopp anasema 'Ukishakuwa maarufu private/privacy life yako inasuffer' Sasa maisha binafsi ya daz yanapata tabu mbele ya jamii ...ama kweli uspstaa mzigo wa mwiba ukiubeba uta... Rastaman peace & love
 
Two weeks ago nilikuwa Chuo cha Mwalimu Nyerere kulikuwa na Event ya vipaji na ndipo nilikutana na Daz Baba Aisee huyu Jamaa amechoka Sana nadhani Pombe ndo zimemmaliza.

Kiufupi wasanii Kama hawa Kina Daz-Baba Walioimba nyimbo nzuri za kuhelimisha jamii wanabidi wakumbukwe na kusaidiwa.

Daz Baba A.k.A Daz Mwalimu punguza Pombe.

Pia huyu Daz Baba Nilikutana naye 2019 Tabata Kimanga kwao ukweli Bado hali yake sio nzuri kiukweli.
Maisha ni kuchagua.. kiukweli tunaweza laumu serikali kwa kutokuwa namfumo mzuri wa kusimamia kazi zawasanii.. lakini kwa mambo mengine ni uzembe binafsi starehe tufanye lakini kwa akili
 
Back
Top Bottom