DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

Ni hila za wahuni tu. Ukifanyika uchunguzi utakuta kama desturi yao wamemwaga hela kumchafua mpina kwa jinsi anavyowabana kwa hoja bungeni. Mgogoro wa miaka 12 kwa nini ulipuke saa hizi kama vile ni jambo la juzi.
 
Mkuu wa wilaya Rebeca Sanga nikuambie Luhanga Mpina ndiye Rais ajaye, linda ULIMI WAKO
 
Hatari
 
Aya mambo tusubili , kwamba ukambale umerudi tz mpina hatakiwi kumjibu lolote
 
MH.MBUNGE LUHANGA mfungulie KESI huyo DC akulipe kama MUSIBA
 
Kama namwona msukuma Mpina atakavyomjibu huyu mwanamke
 
Kwa kuwa Mpina ni kiongozi nilitegemea DC angeongea naye kwa simu ndipo aseme hayo aliyosema kuwa kama Mpina katamka hayo maneno .....
 
Angalieni huyo DC asiwe Kama ole sabaya.πŸ˜πŸ˜ŠπŸ˜ƒ
 
haya ndo madhara ya kupeana madaraka kwa urafiki.siamini mkuu wa wilaya kama anaweza kuongea maneno haya ya mtaani.nilitegemea kuona mkuu wa wilaya anahimili na kujizuia maneno ya mhemko.Iwezekana pia ni utoto wa mkuu huyo wa wilaya ndo maana tunasema wanaopewa madaraka wawe matured kimwili na kiakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…