DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

DC aingilia kati mgogoro wa Wananchi na Luhaga Mpina mkoani Morogoro

Kweli ukiangalia kwa makini hakuna tusi isipokuwa ni kwamba DC amenesha kwamba amekerwa na comment ya L. Mpina kukiita kikao hicho ni kikao cha harusi.

iweke video ya mpina anaposema hayo maneno

Kweli ukiangalia kwa makini hakuna tusi isipokuwa ni kwamba DC amenesha kwamba amekerwa na comment ya L. Mpina kukiita kikao hicho ni kikao cha harusi.
mpina amesema wapi? lini? tuwekee hiyo video tuangalie na sisi
 
Mkuu wa wilaya anapata wapi mamlaka ya kumuagiza mbunge hizo si bangi hizo?
 
Siku hizi wakuu wa wilaya wanateuliwaje? Si wametoka majuzi tu kufundishwa semina ya viongozi ma dc wote dodoma kuhusu kanuni na taratibu za uongozi?

Imekuwaje sasa huyu atoe matusi hadharani na kumuita mh. Luhaga mpina kuwa ni mwanamke au mimi ndio sijaelewa vizuri
 
Mwenye CV na DC wa Morogoro, Rebecca Sanga aliyemwita Mpina ni MWALI.

Nimeona huyu DC anazidi kupata umaarufu mkubwa kwa kumuita mpina mwali anatamba mitandao karibu yote.

Naomba mwenye cv yake ya uongozi.
 
Huyo ni Kada kama walivyo MaDC wengine.

Ila uje hayupo Peke yake, kuna watu wapo nyuma yake kumlinda na kumtuma afanye vile alivyofanya
 
distractions and e-drama ndio kilichobakia ccm, na wananchi wanapenda kweli ujinga kama huu
 
Back
Top Bottom