Bado anaendelea na kesi ?Kesi moja inatosha kulipa hlo deni...
Hivi akifukuzwa kazi nani atalipa ? Msando unaleta utapeli huku una kashfa ya Giggy Money unatutakia nini lakini ?View attachment 1939573
Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi ya Madiwani tuliowachagua wanajipanga kumkwamisha.
Wanadai maamuzi ya kukopa ni yake binafsi hivyo wao hawatahidhinisha ili hilo Deni lilipwe na Halmashauri hivyo itabidi alilipe yeye binafsi
Kama anakatwa Tsh. 2.8 kati ya 3.1 anajikimu vipi huyu mtu? Tungekuwa na Mamlaka za Uteuzi zenye akili huyu Bwana alipaswa akamatwe ajieleze huu utopolo alioongea.. Ila hapa kwetu tusishangae akapewa u-RC kabisa.View attachment 1939573
Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi ya Madiwani tuliowachagua wanajipanga kumkwamisha.
Wanadai maamuzi ya kukopa ni yake binafsi hivyo wao hawatahidhinisha ili hilo Deni lilipwe na Halmashauri hivyo itabidi alilipe yeye binafsi
Huyo ni Mpinzani Damu Madiwani hawana Imani nae alinunuliwa na Mzee Polepole kuunga mkono JuhudiView attachment 1939573
Kinachonisikitisha Mbunge na baadhi ya Madiwani tuliowachagua wanajipanga kumkwamisha.
Wanadai maamuzi ya kukopa ni yake binafsi hivyo wao hawatahidhinisha ili hilo Deni lilipwe na Halmashauri hivyo itabidi alilipe yeye binafsi
Mdhamini wake ,ambae ni mwajili wakeHivi akifukuzwa kazi nani atalipa ? Msando unaleta utapeli huku una kashfa ya Giggy Money unatutakia nini lakini ?
Na hiki ndio kinawakuta Wasaliti wote waliojiuza huko walikoHuyo ni Mpinzani Damu Madiwani hawana Imani nae alinunuliwa na Mzee Polepole kuunga mkono Juhudi
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kama anakatwa Tsh. 2.8 kati ya 3.1 anajikimu vipi huyu mtu? Tungekuwa na Mamlaka za Uteuzi zenye akili huyu Bwana alipaswa akamatwe ajieleze huu utopolo alioongea.. Ila hapa kwetu tusishangae akapewa u-RC kabisa.
Absolutely anataka kusema madc wengine hawana utu na akili kama yy.. binafsi ni popularity anatafuta.Kama anakatwa Tsh. 2.8 kati ya 3.1 anajikimu vipi huyu mtu? Tungekuwa na Mamlaka za Uteuzi zenye akili huyu Bwana alipaswa akamatwe ajieleze huu utopolo alioongea.. Ila hapa kwetu tusishangae akapewa u-RC kabisa.