mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Hata siku moja usimwamini mwanasiasa.
Kama ameamua mkopo wake liwe jambo la wazi, aweke hadharani executed term loan / loan agreement tujionee kwa macho yetu.
Na pia collateral gani ameziweka ku secure huo mkopo?
Mkopo ni wa muda gani?
Kama amekuwa guaranteed na kazi yake, vipi akitenguliwa kesho?
Ameweka wazi kabisa kwamba amefuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kupata approval ya muajiri wake, na kutimiza vigezo na masharti ya taasisi alimokopa
Bank wanajua kuna teuzi na tenguzi na wanazingatia hilo pamoja na vigezo vingine, kupewa pesa ni jibu tosha amekidhi vigezo vyao