DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara


Ameweka wazi kabisa kwamba amefuata taratibu zote ikiwa ni pamoja na kupata approval ya muajiri wake, na kutimiza vigezo na masharti ya taasisi alimokopa

Bank wanajua kuna teuzi na tenguzi na wanazingatia hilo pamoja na vigezo vingine, kupewa pesa ni jibu tosha amekidhi vigezo vyao
 
Bila ku disclose loan agreement yake ni porojo tu za wanasiasa.
 
Hamjui msemalo. Hapa ni mjini na mipango miji lazima iheshimiwe. Kitu kikiwekwa mahali pasipokuwa kwake kinakuwa uchafu. Sasa Msando kwa kutofuata mipango miji ameleta uchafu mkubwa kwenye soko kuu la kisasa la mkoa maarufu soko la Kingalu. Ameleta kero kubwa za parking, kuziba Barabara, na watu kuacha kufanya biashara zinazolipiwa kodi ndani ya soko. Kwa ujumla, mradi wa Msando ni janga litakalolipuka vibaya sana siku chache zijazo. Hizi sifa za kisiasa za muda mfupi zitamtokea puani.
 

Sawa, ngoja tusubiri lilipuke
 
Hulalagi wwe!?
au huna mume!
mida ya wanga hii
 
Benki wao hawawezi kukupa nyaraka za mteja. Hizo huhifadhiwa kwenye dossier huko strong room.
Mteja ndio yeye anayeweza kuonyesha nyaraka zake. AZIWEKE HADHARANI

Kawaombe na wewe mkopo ujengee wamachinga utajua taratibu zilizofuatwa.

Kwani unataka msando akuwekee taarifa hadharani wewe ukiwa nani? Una msaada wowote kwenye marejesho? Au unataka akuridhishe nafsi yako tuu???

Waja mna taabu sana😂😂😂😂👣👣👣
 
This man is a traitor, msaliti wa demokrasia, muuaji mkubwa, mkandamizaji wa haki za binadamu. Jitu bure kabisa, limehongwa cheo kama shukrani ya kutesa upinzani
 
This man is a traitor, msaliti wa demokrasia, muuaji mkubwa, mkandamizaji wa haki za binadamu. Jitu bure kabisa, limehongwa cheo kama shukrani ya kutesa upinzani

Tunaongelea habari ya yeye kuwasaidia wamachinga mkuu...

hiyo mambo sijui traitor, msaliti wa demokrasia, muuaji mkubwa, mkandamizaji wamachinga wa morogoro hawaijui, hata sisi wengine hatukuelewi labda uje na ushuhidi
 
Hut mpigaji to, sibalikuwa anapokea fedha za nasf za bongo ya zitto
 

Nenda machonga complex utawaza tofauti
 
Kutengeneza jina kwa kusaidia wahitaji ni jambo jema sana
Ni wazo zuri , hata aliowasaididia wataelewa tu badae.
Jana nimekaa naota jua kapita mama wa kisomali anaokota makopo akauze.nikampa mawili ya beer nishakunywa kaondoka.
Karudi in 15 min anaokota tena makopo, namuuliza you ddnt get enough anasema yes.
Nilimvuta pembeni nikamkabidhi 50 euro nikamwambia kapumzike.
Yule mama alikaa akapiga magoti akasali vibaya sana.akarudi mara ya pili na ya 3 anasali.
Mi nashangaa kahela kadogo tu mbona.
Usidharau kidogo kwako kina maana kubwa kwingine.
 
Kakopa kama Dc au kama yeye, maadili ya utumishi wa umma yanasemaje?
 
Yan huu ukweli hausemwi popote, eneo Zima la hapa soko jipya kumeharibika hakufai, Kuna maana gani kujenga vibanda vya mbao kwa gharama kubwa ilhali soko lipo na Lina frem za kutosha? Kwann wasishushe gharama ya frem watu wengi wazimudu na shughuli ziendelee?

Kiukweli km ndo mpango wa Msando amechafua mji kwa sifa za kijinga. Upuuzi mtupu, pahala palikuwa na parking Sasa hakuna, Yan pamekuwa vuru vuru hovyo.
 
Watu hamna shukurani aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…