DC Alberto Msando akopa milioni106 benki ili kuwajengea wamachinga sehemu ya kufanyia biashara

Kweli hakuna mtu mwembamba duniani.
 
You present your arguments as if you have never seen the insde of a modern school

Alberto kafanya kosa gani kwenye kusaidia watu wafanye biashara? Yaani mnaumia hadi huruma
 
bado hajawajua madiwani vizuri huyu na mbaya zaidi alishawahi kuwa diwani.
 
Mimi nasubiria mtu azungumzie alivyoweka ufundi wakati akishika lichupi la msanii malaya Gigi Money

Kila mtu ana huo ujuzi ila wa kushika lichupi tofauti ni kwamba yeye alishika la Gigi Money wakati wewe unashika la chausiku

Halafu haya mambo si yalishapita swahiba!? Acha kazi iendelee
 
Sasa na wewe unatuletea taarifa za msondo wewe kama nani? na kwanini unataka tujue taarifa ambazo hauwezi kudhibitisha,?

Nimewaletea wanaozitaka. Kama wewe huhusiki pita kimyakimya
 
Sawa mama msando....ila hakuna la zaidi ya kutafuta kiki, kwani maeneo ya umma hayajengwi na pesa ya mtu binafsi, kipindi cha mwalimu unahojiwa hiyo pesa umeipata wapi.....
 
mmeanza campen mapema sana aiseeee
Usiogope
Hata wewe unaweza anza saidia wahitaji waliokaribu nawe, na kama hiyo ndio kampeni basi kazi iendelee maana ina faida kwa wananchi
 
Sawa mama msando....ila hakuna la zaidi ya kutafuta kiki, kwani maeneo ya umma hayajengwi na pesa ya mtu binafsi, kipindi cha mwalimu unahojiwa hiyo pesa umeipata wapi.....

Hata sasa mnaweza kuhoji kwa kutumia channels sahihi
Maana na yeye amepita huko kabla ya kufikia maamuzi
 
Tusubiri, logistical problems ni nyingi sana.
 
Wale wanaodhani kila anayeteuliwa anafuata maslahi binafsi wajifunze kwamba wapo wanaoteuliwa kuwahudumia wananchi
Wanapatikanaje hao wasiofuata maslahi ili tuachane na hawa wachumia tumbo waliojazana kwa wateuliwa na wachaguli/wapora chaguzi?Hivi maslahi binafsi ni mishahara,posho,marupurupu au rushwa?
Tunahitaji Katiba itakayojibu na kutatua changamoto zetu kitaasisi badala ya kuwa kama hisani.
 
Usiogope
Hata wewe unaweza anza saidia wahitaji waliokaribu nawe, na kama hiyo ndio kampeni basi kazi iendelee maana ina faida kwa wananchi

Msaada Wa Matangazo Mkuu? Ingependeza Kama Angetoa Kimya Kimya tu
 
Kwani taarifa za kuchukua mkopo mmetuwekea hadharani kama nani?
 
Hahahahaa wakati mnatafuta hizo problems mtafute na faida pia

Waja mna mambo
Kupata hizo hela ambazo ni kidogo sana ni aspect moja, kufikia lengo ni aspect nyingine.
 
Hapa sijaelewa. Amekopa kama Albert Msando au serikali ya mkoa ndo imekopa?
 
Utumishi wa umma una taratibu kuhusu mikopo kwa watumishi

Your net salary must be equal or greater than 1/3 of your gross salary

Ajaribu tena huo uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…