MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Halmashauri nyingine mpaka wakuu wana Idara wa NJAA kinoma. Sasa imagine, watumishi wa chini?Apunguze UMBEA.
Yaani mtu amesoma miaka na miaka anaajiriwa Halmashauri mshahara 745k ukitoa makato 585k
Huku mwenzie aliyesoma nae kaajiriwa taasisi mshahara 1.8Mil
Kwanini asiibe.
Amwambie huyo waziri aanze na mishahara ya halmashauri kwanza na sio mabaya tuuu.
BILA KUANGALIA MASLAHI YA WATUMISHI WA HALMASHAURI BASI WATAIBA SANAAA.
#YNWA