ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Aliharibu kuchukua hatua ndio wakamsinitch,hivi unaijua serikali au Watzn walivyo wewe?Alikuwa na kila madaraka kabla ya kutumbuliwa, alifanyaje kudhibiti hayo yote??
Huu waraka wake japo alihisi utasaidia kumfanya aonekane kiuhalisia umezidi kumuharibia na kudhihirisha kuwa hakuwa sahihi kwa nafasi aliyopewa maana alishindwa kuzuia ujinga wote huo.
Ukiwa mtu uliyenyooka ujue utaondoka.