DC Butiama amfukuza mtoto wa Mwalimu Nyerere Butiama kijijini

Hakuna mtoto wa Nyerere aliyekuwa O level 1985, labda kama alizaliwa nje ya ndoa.
Mkuu Gagi, Gagnija wewe unawajua watoto wote wa Nyerere?. Are you close family?.
We are Afrcan extended family, JK ana watoto 8!, unawajua wote!. Mtu kuwa mtoto wa Nyerere lazima azaliwe na Mama Maria?.
Tumesoma Tambaza na mtoto wa Nyerere alikuwa ana kaa hapo Msasani!.

P
 
Nimeondoka kama vile nyumba inawaka moto.
Kukimbia matatizo ya mentally deranged people.
Mimi sina television( I can't afforf it).
Katika majira haya television itakuwa inamuonyesha DC stori ya Uhuru. Halafu unaniambia DC anataka kufanya nini?
 
Unasema DC kule ni mwanamke?
Well,wewe umenitukana sana hapa.
Baadaye labda nitaandika kitu hapa. Now I am too tired.
Wewe,take care of yourself.
Yani mpaka nacheka😂😂

Baba yako alikuwa Muasisi wa nchi hii tena jembe kweli kweli,halafu leo wanakufukuza nyumbani Mwitongo na wewe unakubali???

Mfuate Bi Mkubwa pale Msasani kuwa mnaonewa sana aongee na Samia mpewe äta kazi pale SGR,BOT,TPA au AirTanzania..........Mzee alikuwa mwema sana kama angekuwa ndio Jakaya leo nyie mngekuwa mnaishi Kifalme sana kwenye nchi hii
 
Ndiyo maana nikasema kama mtoto wa nje ya ndoa sina ubishi.

Mtoto wa mwisho wa Maria hiyo 1985 ashamaliza kidato cha sita, na akiwa chuo.
Mkuu Gagi, Gagnija ,usitake kutuharibia mchakato wetu wa kumtangaza Nyerere Mwenye Heri, nimekueleza sisi tunaishi extended families, sio kila mtoto wa Nyerere ni lazima amezaliwa na Julius na Mama Maria. Tumesoma Tambaza na mtoto wa Nyerere alikuwa anakaa Msasani kwa Mwalimu Nyerere.
P
 
Kama unalidhalilisha jina la baba wa taifa Basi Ana wajibu kukutimua Tena shukuru huyo dc wengine wangekuweka ndani Kisha mama ako asikie apate pressure afe ghaflaaa
 
Kwa hiyo, kulikuwepo na "tatizo" ndio maana, baada ya kufikiri "kwa dakika moja" ukaamua kuondoka kijijini na kwenda Arusha.

Sasa itakuwaje, endapo DC wa huko Arusha na yeye akiamua mtoto aondoke huko!
Tena mm Nina namba za dc wa Arusha namtonja kuwa jamaa yuko ahapa katimuliwa na dc huko musoma

So hta Happ akileta jeuri atimuliwe
 
Mnafki sana we mtu, kwani bila kujikombakomba kwa wakubwa huwezi kuishi?
 
Mjomba pascal unataka kuniambia wewe pia dingi yako alikuwa ni mtu wa system kama wewe?
 
Code imekua ngumu kwako 😂
 
Hehehe,sidhani kama unauongelea ule utakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…