DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

Huyo mkurugezi ajiandae kufanya kazi nyingine..hakuna namna!..
 
Gondwe kama anataka kuendelea kwenye nafasi yake ya u DC aachane na huyo DED.

Huyo DED ni "deep state" squad member kama alivyo Sabaya... na ndiyo wapendwa numero uno wa mamlaka iliyowaweka!
 
Ukiwa deep state inakufanya ukose utu ndani yako, basi ni upumbavu wa aina yake.
Gondwe kama anataka kuendelea kwenye nafasi yake ya u DC aachane na huyo DED.

Huyo DED ni "deep state" squad member kama alivyo Sabaya... na ndiyo wapendwa numero uno wa mamlaka iliyowaweka!
 
DED hana Maisha Marefu KAZINI
 
ndio uungwana ulivyo hasa ukijua umekosea.
 
Huko ni kuzidi kumtia kiburi huyo mkurugenzi kwanini asiombe yeye mwenyewe? Kwani kafa hadi aombewe radhi? DC naya aache kujidhalilisha kwa kufanya kazi zisizo muhusu. Au ana taka kiki ya kuonekana yeye ni muungwana sana?
 
Aliye kosea haja omba radhi anaye omba radhi haja tumwa hii imekaaje?
Kumbuka Gondwe ndiyo mkuu wa wilaya ya temeke, kwahiyo kuomba radhi kwa niaba ya mkurugenzi katika wilaya yake sio vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…